Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jamaa alikufanyia hii kazi? Nataka nimrukie hewani
 
Jamaa alikufanyia hii kazi? Nataka nimrukie hewani
Hapana...

Huyo Muhindi aliniambia anataka malipo kwa njia ya Binance in terms of dollars


Na mimi nikaona mzunguko umekuwa mkubwa maana mshkaji wangu ambaye ndiye anadili na hizo mingo za Binance

Akaniambia sijui mpaka sijui anunue dollar kwa wadau wa Tanzania wanaotumia hiyo Binance ambao hao watu nao wanataka walipwe kwanza tena wana namba hadi za uwakala.

Kwa hiyo process ikawa ndefu halafu kule kwao Muhindi muda ukawa umesogea akalala. Wakati sasa nime settle tushampata huyo mwamba wa kutuuzia hizo dollar nikasema tulia kwanza nimcheki Muhindi kabisa kabla sijalipia hizo dollar

Kumcheki nakuta mwamba kalala, akatuma meseji saa 4 kuwa

Kesho yake nikatumia ile hela na mchongo mzima ukafia hapo.

Ila ntapohitaji basi muda wowote naweza nikamcheki
 
PayPal huwezi pokea hela ila unalipa vizuri bila shida.

Na binance ni cryptocurrency wallet, umampa kwa bitcoin ama currency nyengine, kuwa watu wanaziuza kama mawakala wa mpesa wapo bongo.
 
Ngoja nimtafute
 
PayPal huwezi pokea hela ila unalipa vizuri bila shida.

Na binance ni cryptocurrency wallet, umampa kwa bitcoin ama currency nyengine, kuwa watu wanaziuza kama mawakala wa mpesa wapo bongo.
Yeah hata mimi niliambiwa hivyo kuwa wadau wanakuwa na namba za wakala
 

Hii niliinunua kama miaka 3 iliyopita halafu nashindwa kuiunganisha,nimeangaika sana na review za tenda kule youtube ila wapii!imekua kama toy tu sasa hivi!
 
Hizi mb zinaisha fasta mno sijui sababu ya mbps nzuri au lah,binafsi suluhisho la internet za TZ ni unlimited tu
 
View attachment 3102947View attachment 3102948
Hii niliinunua kama miaka 3 iliyopita halafu nashindwa kuiunganisha,nimeangaika sana na review za tenda kule youtube ila wapii!imekua kama toy tu sasa hivi!
Hio ni router kMa router nyengine isipokuwa tu kazi yake ni ku support router nyengine.

Angalia itakua na maelezo ya details chini ama nyuma washa connect na hio network yake ingiza ip yake kisha login halafu ndio utaconect main wifi.

Ama nipigie picha hayo maelezo nikuwekee procedure vizuri
 
Box na menu zake zilishapotea mkuu,nilinunua muda sana
 

PayPal kufanya malipo inawezekana kwa Tz. Ku-withdraw pesa ndiyo haiwezekani.

-Kaveli-
 
I'm clueless

Easy click bro...

1. Register PayPal account.

2.0 Create M-Pesa virtual Master Card, na iwekee pesa hiyo card from M-Pesa yako; or

2.1 Tumia your real Bank Master Card.

(N.B: Due to a lot money scammers online, 'Virtual master card' is highly recommended for informal online business coz unaweka the exact amount only kinachohitajika kwenye hiyo card).

3. Kwenye PayPal, kuna option ya ku-link PayPal account yako to your Master Card. So when making payment, unaweza iwekea pesa PayPal account yako from M-Pesa Master Card yako na kufanya malipo. Pia, kama PayPal account yako haina balance na ukaicommand kufanya malipo, itakuuliza ikate directly kwenye master card yako? unairuhusu, the you go.

-Kaveli-
 
Nashukuru kwa muongozo

Ntakuja kusoma vizuri nikipata utulivu baadaye ngoja saizi nicheki mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…