Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi TTCl awana Router kama ilivyo kwa Airtel
 

Hivi TTCl awana Router kama ilivyo kwa Airtel
Wanazo tatizo bei ya vifurushi ukienda mbele zaidi network una jitafutia mostly ina roam via Tigo.
 
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
Vipi bado Halotel kwako inapasua?

Kuna mdau aliniambia inagonga speed kali ila jana kanionesha speed test yenye 320Kb, anasema imekuwa hivyo kwa siku mbili.

Vipi kwa upande wako?
 
Vipi bado Halotel kwako inapasua?

Kuna mdau aliniambia inagonga speed kali ila jana kanionesha speed test yenye 320Kb, anasema imekuwa hivyo kwa siku mbili.

Vipi kwa upande wako?
Mwanangu ni kisanga ngoma toka juzi mwendo wa 320kbps. Nadhani wamepiga speed cap kwa above 24gb
 
Ukifika 24gb ndio manyago yanaanza.
Mwanangu ni kisanga ngoma toka juzi mwendo wa 320kbps. Nadhani wamepiga speed cap kwa above 24gb
Nimeunga devices 4 hapa, hii ni unlimited ya 50k.
Speed inafika ngapi?
Kwa sasa mbadala ni M2M speed ipo vizuri sawa na vifurushi vya kawaida

Bando la unlimited ni zilipendwa, speed inashushwa ukivuka GB 24

Mibadala ya mitandao mingine:

Airtel unlimited: Unanunua router kwa laki 2 unapata kifurushi cha elf 70 kwa mwezi kwa speed ya 10 Mbps au unapewa router bure lakini unaunga kifurushi cha 110,000 kila mwezi kwa speed ya 30 Mbps.

Vodacom Supakasi Unlimited, kinaanzia 120,000 kwa mwezi kwa speed ya 30 Mbps, kusajiliwa inabidi kwanza uweke deposit takriban laki 2 hivi

Vifurushi vya SME na postpaid vyenye unafuu wa bei za GB, Mfano ni Halotel M2M, Voda sme, tigo Postpaid na airtel sme, Kila mtandao una bei zake ila kuna tofauti ndogo kwenye bei.

Fibre ni unlited na bei rahisi kuanzia 55,000 lakini haibebeki, Ni ya kutumia sehemu moja, ukiwa nje unaingia gharama za ziada kuunga mabando.
 
Plan B nzuri upate watu wawili watatu mvute 70k kwa mwezi au mpambanie fiber iwafikie
 
Vipi bado Halotel kwako inapasua?

Kuna mdau aliniambia inagonga speed kali ila jana kanionesha speed test yenye 320Kb, anasema imekuwa hivyo kwa siku mbili.

Vipi kwa upande wako?
Tembelea hapa


Kuna mdau kapost humo, kifupi baada ya 100GB wanashusha speed chini ya 2mbps and most of time chini ya 500kbps.
 
Bro kwani husomi uzi ukaelewa? Calm down 50k after 24GB hiyo bundle haitembei tena

Mkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB

Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…