Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mcheki huyu jamaa BurtonSat_Shop kwa huduma ya IPTV, bei nafuu na uhakika.
 
Msaada
Mwenye kujua naweza vipi kupata gb atleast kwa mwezi kwa bei rahisi anisaidie
Natumia halotel, voda na tigo
Nitawafundisha mpaka lini? , Ukiteswa na bando, Huo ni uzembe wako, kwa halotel Pata GB2 kwa 3000, Gb3 kwa 4000, GB5 kwa 5000, Gb7 kwa 7000, Gb10 kwa 10000, Gb15 kwa 14,000, Gb20 kwa 19,000, Gb25 kwa 23000 na Gb30 kwa 26000 tu mwezi mzima. 0618370992.
 
Nikiingia kwenye hiyo menu kuna option ya kujitoa na best offer. Hakuna option ya kujiunga.
 
Nimefanya a deadly mistake..

Leo nimenunua Router ya Airtel 5g ili nitumie home..nilivyokuwa Town spidi ilikuwa kubwa sana na taa ya 5g ilikuwa inawaka..kurudi home hamna kitu hata hiyo 4G hamna kufungua tu whatsapp pic mtihani..

Hapa naona nimepoteza 110k hivihivi..

Wenzangu mnaotumia hii kitu vipi??

Na je kuna option nyingine nzuri ya unlimited kwa Voda au Tigo??.. maana nimepima speed kwa kutumia simu naona zipo
vizuri kwa eneo nililopo
 

Attachments

  • Screenshot_20250102-223348_Chrome.jpg
    97.4 KB · Views: 11
Hapa subiri wakina Kingsmann Mwl.RCT wakupe muongozo haiwasumbui.


SEma wakuu airtel watafakari jambo malalamiko yamekua mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…