Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii fresh, unaweza jua wanapunguza speed hadi ngap?
Mkuu nje ya mada kidogo and am sorry,hivi maduka ya huku Tanzania kama vile Dar es salaam huwa yanauza hizi digital radio zenye bands zote kwa pamoja za DAB+,DRM30,FM,SW,AM pia zenye WiFi connection(kwa ajili ya online Radio),bluetooth,display nzuri ya screen na kadhalika?
 
Sijaona sehemu mkuu, maybe wale jamaa wa mitumba wanaoleta Makontena wanaweza kuwa nazo.

Sema alternative kulikua na simu zinazinduliwa na Dab+ mfano lg stylus 2, Samsung galaxy S wifi edition, Cat S22 flip etc unaweza tumia kama alternative.
 
Sijaona sehemu mkuu, maybe wale jamaa wa mitumba wanaoleta Makontena wanaweza kuwa nazo.

Sema alternative kulikua na simu zinazinduliwa na Dab+ mfano lg stylus 2, Samsung galaxy S wifi edition, Cat S22 flip etc unaweza tumia kama alternative.
Mkuu hawa jamaa wa makontena ya mtumba wanapatikana wapi?Kwani nilikuwa naitaka sana digital radio model ya Tecsun PL-990X
 
Mkuu hawa jamaa wa makontena ya mtumba wanapatikana wapi?Kwani nilikuwa naitaka sana digital radio model ya Tecsun PL-990X
Hio redio bei ndefu sana mkuu.

Kwa hao jamaa utachokikuta ndio hicho hicho unaokota, huwa hawana model maalum, vitu vikitupwa tupwa Ulaya huko wanaokota wanakuja kuuza huku.

Wengi wapo kkoo livingstone na amani mpaka lumumba na amani, mpaka livingstone na msimbazi hadi lumumba na Morogoro road, Block yote ile kuna maduka zaidi ya 10. Wengine wengi pia wapo mikocheni. Napo pia sio uhakika 100% utapata.

Uhakika ni kuagizishia tu mwenyewe.

Pia naona alternative nyengine ni hizi Sabufa/Home theatre/Amplifier etc naona nazo brand za uhakika kama Yamaha, Sony etc zina support Internet radio.
 
Mkuu hii Tecsun PL-990X ina bands za DAB+ na DRM30?Maana nimehangaika kutafuta hilo ila nimekosa
 
Unatafuta PayPal ya Kenya mkuu, watu hutumia line za Safaricom kusajili PayPal za kenya, toka Safaricom kuja mpesa unajitumia tu mwenyewe hela.
Zamani ilkuaga unasubiria masaa 2 hela inaingia kwa account uki withdrawal PayPal ila nowadays ni dk 1 hela inasoma M-Pesa Safaricom then unahamisha kuja M-Pesa Vodacom au unatoa kwa wakala moja kwa moja wa M-Pesa yetu ya Voda kutoka kwa laini yako ya Safaricom japokua wakala anaweza kukushangaa na asielewe..
 
Ana's ajili kwa jina la nani? Mpunga ukiingia una salama?
Inasajiliwa na IDs za huko huko usalama wa pesa zako upo nina laini 3 za Safs moja ina miaka sasa toka 2017 natumia bila shida na ingine nilichukua 2020 natumia pia haina shida na sijawahi kumbana na fraud report yoyote. Nmepitisha miamala zaidi ya million 2-3 per day mara nyingi bila shida..

Vijana wengi wa Forex wanazo sana kwa ajili ya kufanyia transactions kwa brokers... Ninao wafahamu wanatumia sijawahi sikia wanalalamika wameibiwa.

But somebody kama anaamua kuchukua achukue with his/her own risk. Anything can happen si unajua online hakuko salama [emoji817]%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…