Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Survey wanachelewa kufanya sana na zile story za kuishiwa vifaa .

Ombi liko pending mwezi wa 6 sasa I had to opt otherwise.
Unaweza kutumia njia ambazo sio fiber kama 5G za voda/Tigo/Airtel, Tigo kama ulivyoona juu wanasema wanakupa Speed unlimited ila wana throttle baada ya GB kadhaa, kwangu hio ingekua sina fiber ni nzuri sana.
 
Inawezekana kuhamisha hela kutoka Skrill kwenda Safaricom mkuu?
 
Ni Layer ya Android kwenye Linux, kama windows wanavyotumia Blue stack kuweka apps za android, waydroid inatumika kwenye Linux, utofauti waydroid yenyewe inakuwa native sio emulation hivyo inakuwa nyepesi kama unatumia simu vile.
mkwawa msaada tutani, nataka niweke hii waydroid ila katika linux distro nahitaji kutumia less than 50gb ya storage , una-suggest distro ipi hapo, lengo kubwa ni kustreamia soka tu kwa hizi app zetu za kizushi.
natanguliza shukrani
 
Kuna mdau hapo juu naona kasema inawezekana kutoa skrill kuja Airtel Money (binafsi sijawahi jaribu kwa Airtel Money), Sa sijui kama ni one way transaction (kutoa tu) au inakubali both deposit & withdrawal transactions.
mimi experience ipo kwa neteller, option ya airtel money imewekwa kwenye withdraw tu, na hii bila shaka itakua na kwenye skrill ni hivyo hivyo maana hizi service mbili zinafanana karbu kila kitu sababu ya kununuliwa au kumilikiwa na kampuni moja
 
mkwawa msaada tutani, nataka niweke hii waydroid ila katika linux distro nahitaji kutumia less than 50gb ya storage , una-suggest distro ipi hapo, lengo kubwa ni kustreamia soka tu kwa hizi app zetu za kizushi.
natanguliza shukrani
Linux hazili sana storage, mimi ni mpenzi wa fedora na Distro zake zinazofanania kama Bazzite.

Fedora kuna ui ukiweka hata hio linux muonekano unakua kama wa simu, so ukiweka Waydroid ina blend vizuri sana.

Machine yako ni ya Amd ama intel? Una dedicated gpu? Kama ndio aina gani?
 
intel, mkuu.machine i5 7th gen, gpu ya kawaida tu intel (r) hd 620
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…