Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu! Ni Mi-Fi ya mtandao gani itanipatia speed mzuri?
Unless huko kwenu kuna 5G za kutosha tafuta tu universal Router ambayo itaingia mitandao yote, then tumia mtandao ambao una bando nafuu na speed inayokuridhisha.

Tumia tu simu yako ya sasa kucheki speed eneo lako, ungeanza na Halotel kwanza maana ina vifurushi vizuri, Tigo pia Home Internet vifurushi vina value.
 
Hii sio ya kukosa Usiseme sijakuambia.

HALOTEL WIKI2
Gb2 kwa 3000
Gb3 kwa 4000
Gb4 kwa 5000

HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb10 kwa 10,000
Gb15 kwa 14,000
Gb18 kwa 15,000
Gb20 kwa 18,000
Gb24 kwa 20,000
Gb25 kwa 22,000
Gb30 kwa 25,000
Gb38 kwa 30,000
Gb40 kwa 33,000
Gb50 kwa 40,000
Gb60 kwa 47,000
Gb70 kwa 55,000
Gb80 kwa 60,000
0618370992
 
Chief-Mkwawa Samahani nina Oppo a83 haikubali kutumia whatsapp naomba unielekeze nifanye nini ili whatsapp isome
Mkuu kuna jamaa yangu fundi nimeongea nae anasema hizi simu storage yake ni 32GB, hawa jamaa kuna file wanapiga wana fake storage kama 128GB ili waziuze, hilo file wanalopiga linakinzana na whatsapp ndio inafungiwa. Anasema uki rudisha file la kawaida storage itashuka hadi 32GB na WhatsApp itakubali.

So tafuta fundi mzuri akuflashie.
 
Anunue hizi routers za Airtel 5G SmatBox isiwe Model ya ZLT X25 tu hii haitoki LOCK kama Firmware Version yake inazidi 4.0.1, zingine zinatoka Network LOCK....Aje na hela 10k tu nimfyatulie Permanent Network UnLock atumie mitandao yake yote.
 
Karibu hivi pia
 

Attachments

  • IMG_5454.png
    940 KB · Views: 52
  • IMG_5401.png
    1.2 MB · Views: 39
Asante Mkuu kwa ushauri kuntu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…