Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chief, habari!?

Hivi router za Tigo/Yas zipoje!?
Unlimited yake ni ya uhakika?
Speed!?
 
Chief, habari!?

Hivi router za Tigo/Yas zipoje!?
Unlimited yake ni ya uhakika?
Speed!?
Mitandao ya simu ni location na location, kama kwako Tigo wapo vizuri na 5G inakamata utapata speed husika. Kikawaida unlimited unapimiwa kwa speed 10,20,30 mbps etc.

Tofauti na wengine Router za Yas ni za kulipia, wakati kina Airtel na Voda unapewa bure ukilipia kifurushi ama kutimiza vigezo fulani.
 
Kuna jamaa yangu anataka kununua wifi router, mahali anapoishi tigo ndio wapo vizuri, mitandao mingine inasumbua.
Alikuwa anaomba ushauri kuhusu hizo router za tigo.
 
Kuna jamaa yangu anataka kununua wifi router, mahali anapoishi tigo ndio wapo vizuri, mitandao mingine inasumbua.
Alikuwa anaomba ushauri kuhusu hizo router za tigo.
Router ni hizo hizo zisikupe stress sana.

Cha muhimu hakikisha ni router ya 5G hata kama kwake hakuna 5G huwa modem za 5G zina flagship level 4G.

Asije akapewa vile vimifi vidogo havina issue.
Mfano wa muonekano wa router hizi za 5G zinakua kubwa, zina connect watu wengi etc


Vimifi ambavyo Havina issue ni hivi.
 
Asante mkongwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…