Duh .. hii sasa kali kwahiyo kwa mfano siku ukiamua kupakua file kubwa tuseme 70 gb; utapakua 20 gb siku hiyo kisha usubiri siku nzima internet inakuwa mbaya. Kesho tena unapakua 20gb zingine mpaka siku nne baadaye ndio unamaliza na siku zote hizo hutaweza kufanya la maana na internet yako? 🤣🤣🤣 huo ni utumwaKusema kweli yas na business model yao ile ya 5G unlimited ni mbaya sana. Nimahama kutoka voda kwenda yas kile kifurushi chao cha 20mbps unapewa gbs 15 sijui 20 alf zikiisha unabaniwa speed mpaka 2mbps mpaka saa6 usiku unaengezewa speed hii biashara imenishinda nimeona bora nirudi zangu voda tu. Japo unalipa premium Lkn unapata kitu cha uhakika na ile router yao ya yas naitumia kama bridge tu
Yaani model Yao ipo tofauti kabisa. Ukipewa speed ya ulonunua unapimiwa gbs ikimaliza unabaniwa mpaka 2mbps mpaka saa6 usiku. Kama ukipewa full speeds Unapewa 36gbs kwa siku ukimaliza huna internet yaani inakata kabisa mpaka saa6 usiku. Nimeamua tu kuwakimbia Hamna la maanaDuh .. hii sasa kali kwahiyo kwa mfano siku ukiamua kupakua file kubwa tuseme 70 gb; utapakua 20 gb siku hiyo kisha usubiri siku nzima internet inakuwa mbaya. Kesho tena unapakua 20gb zingine mpaka siku nne baadaye ndio unamaliza na siku zote hizo hutaweza kufanya la maana na internet yako? 🤣🤣🤣 huo ni utumwa
Kwahiyo kama umelipia 100k kwa 20mbps wanakupa 20mbps kwa hizo gb30 au spidi kamili ya 5G inayoweza hata kuvuka 100mbps?Yaani model Yao ipo tofauti kabisa. Ukipewa speed ya ulonunua unapimiwa gbs ikimaliza unabaniwa mpaka 2mbps mpaka saa6 usiku. Kama ukipewa full speeds Unapewa 36gbs kwa siku ukimaliza huna internet yaani inakata kabisa mpaka saa6 usiku. Nimeamua tu kuwakimbia Hamna la maana
Ukinunua cha 100k 20mbps wanakupa gb20 au chini ya hapo kwa speed ya 20mbps ikimaliza unapata speed haizidi 2mbps mpaka saa6 usiku. Na kama umepata speed kubwa ya 5G 100mbps+ wanakupa gb36 ila zikiisha hupati internet Hata kidogo hadi saa6 usikuKwahiyo kama umelipia 100k kwa 20mbps wanakupa 20mbps kwa hizo gb30 au spidi kamili ya 5G inayoweza hata kuvuka 100mbps?
Duh! Basi kama ni hivyo. Airtel na Vodacom wanamfumo bora zaidiUkinunua cha 100k 20mbps wanakupa gb20 au chini ya hapo kwa speed ya 20mbps ikimaliza unapata speed haizidi 2mbps mpaka saa6 usiku. Na kama umepata speed kubwa ya 5G 100mbps+ wanakupa gb36 ila zikiisha hupati internet Hata kidogo hadi saa6 usiku
Soon itabidi nao wakubaliane na soko linataka nini , mana wataanza kuona subscriber ni wengi wanalipia mwanzo afu wanakimbia ngoja wajifunze the hard way.Duh! Basi kama ni hivyo. Airtel na Vodacom wanamfumo bora zaidi
Mbona kwangu sijawahi kupata shida hiyoKusema kweli yas na business model yao ile ya 5G unlimited ni mbaya sana. Nimahama kutoka voda kwenda yas kile kifurushi chao cha 20mbps unapewa gbs 15 sijui 20 alf zikiisha unabaniwa speed mpaka 2mbps mpaka saa6 usiku unaengezewa speed hii biashara imenishinda nimeona bora nirudi zangu voda tu. Japo unalipa premium Lkn unapata kitu cha uhakika na ile router yao ya yas naitumia kama bridge tu
Ipo vizuri sana mkuuYas nao wameleta router zao za tsh 99,000 na malipo ya kuanzia 70,000 kila mwezi. Kwa ambao wamenunua naomba watupe mrejesho kwasababu Ile router yako awal ya tsh 250,000 kwa sisi wengine ambao wasakatonge ilikuwa changamoto sana.
Funguka mkuu, experience yako ipoje? Kifurushi unachotumia, kasi unayoipata na kwa siku unatumia gb ngapi.Mbona kwangu sijawahi kupata shida hiyo
GB 7 natumia kifurushi cha 70kFunguka mkuu, experience yako ipoje? Kifurushi unachotumia, kasi unayoipata na kwa siku unatumia gb ngapi.
Mkuu mm ndio nilikuwa naipata Kila siku hiyo shida. Nilipiga screenshot ya saa6 after kupewa gbs za siku na nikapiga screenshot tena baada ya kumaliza hizo gbs hapo Unaona kabisa speed imeshuka yoteMbona kwangu sijawahi kupata shida hiyo
Fanya siku imefanyie test. Tumia walau GB 40 tuone speed itakuajeGB 7 natumia kifurushi cha 70k
Mkuu hivi unawezaje kutengeneza Paypal account ambayo ikapokea pesa hapa nchini?Nimecheki cha 10K pia Wametoa, cha bei rahisi ni 15K
Kuna kipindi mda kidogo ilikua ukitumia Zuku inakubali kusajili, bila vpn wanaku direct PayPal ya Kenya.Safaricom ninayo, nadhani changamoto inayokuja ni kuset VPN labda isome kenya. Ila nimejaribu inakataa
Na naskia routers zao ni nzuri hazisumbui mtandao kabisa kama tu za Vodacom...Yas nao wameleta router zao za tsh 99,000 na malipo ya kuanzia 70,000 kila mwezi. Kwa ambao wamenunua naomba watupe mrejesho kwasababu Ile router yako awal ya tsh 250,000 kwa sisi wengine ambao wasakatonge ilikuwa changamoto sana.
Inabid kama vipi tuhamie huko tuNa naskia routers zao ni nzuri hazisumbui mtandao kabisa kama tu za Vodacom...
Kwa wale wa Airtel kama unachukua waambie wakupe zile Smartbox ZLT X28 zina antenna nzuri za kukusanya mawimbi, zile ZLT X25 zina technologia mbovu na mtandao zinachagua maeneo hasa ukiwa nje ya mji ni tatizo kuna watu hadi wanazi zungushia FOIL ili kuboost signals.. ninapokaa nmefanya testing nmegundua hili kwa kuzilinganisha zote mbili uwezo, na pia kuna watu kadhaa nmewatumia kufanya haka ka research wame thibitisha hili..Inabid kama vipi tuhamie huko tu