Ndo ilivyo hivyo ttclwakuu huduma ya ttcl fiber inanipa changamoto sana wiki za hivi karibuni, network inakata sana kwa muda wa dakika au nusu dakika hivi hali hii inaweza tokea hivi karibu siku nzima, hali ipoje upande wenu.
nb: speed tests zina matokeo mazuri tu
Siyo gb 20 kwa siku, ni gb 20 kwa kifurushi kizima zikiisha speed inashuka mwendo wa kobe mpaka kifurushi kitapoisha (mwezi mzima)Duh .. hii sasa kali kwahiyo kwa mfano siku ukiamua kupakua file kubwa tuseme 70 gb; utapakua 20 gb siku hiyo kisha usubiri siku nzima internet inakuwa mbaya. Kesho tena unapakua 20gb zingine mpaka siku nne baadaye ndio unamaliza na siku zote hizo hutaweza kufanya la maana na internet yako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni utumwa
Acha tukomae nayo kibishiNdo ilivyo hivyo ttcl
Toka 75 mpaka 55 so mchezo, kuna jamaa zangu wa karibu wengi wamehama Gofiber kwenda Savannah.Tokea aje savanna naona hali imekuwa ngumu kwa ISPs
View attachment 3435235
Savanna anapiga price skimming akipata base na kishatoka ataanza kupandisha bei kama alivokuja Zuku vile. Na Zuku mwenyewe saivi 69k unapata 20mbps badala ya 10mbps. Competition ina heat up na TTCL mwenye mkonga wake anaachwa nyumaToka 75 mpaka 55 so mchezo, kuna jamaa zangu wa karibu wengi wamehama Gofiber kwenda Savannah.
Zuku inaanza lini hio 20mbps?Savanna anapiga price skimming akipata base na kishatoka ataanza kupandisha bei kama alivokuja Zuku vile. Na Zuku mwenyewe saivi 69k unapata 20mbps badala ya 10mbps. Competition ina heat up na TTCL mwenye mkonga wake anaachwa nyuma
Kwenye website yao naona wamewekaZuku inaanza lini hio 20mbps?
Pengine mwezi ujao, kwangu bado speed haijaongezeka.Kwenye website yao naona wamewekaView attachment 3435434
Kwa wale wa Airtel kama unachukua waambie wakupe zile Smartbox ZLT X28 zina antenna nzuri za kukusanya mawimbi, zile ZLT X25 zina technologia mbovu na mtandao zinachagua maeneo hasa ukiwa nje ya mji ni tatizo kuna watu hadi wanazi zungushia FOIL ili kuboost signals.. ninapokaa nmefanya testing nmegundua hili kwa kuzilinganisha zote mbili uwezo, na pia kuna watu kadhaa nmewatumia kufanya haka ka research wame thibitisha hili..
Nilipo Airtel ndiyo inaongoza kua na mtandao wenye speed yaani kwa simu napata mpaka 80Mbps bando la kawaida na ping yake ndogo sana... Ila nilitumia routers 2 tofauti za watu hizi za Airtel nikapima performance ni mbovu hizi ZLT X 25 ila kwa zile ZLT X28 ilikua bora zaidi nilipata speed nzuri kulingana na kifurushi kilichokuepo..
Firmware Version yake ngapi hapo?View attachment 3437057hii inatoka lock?
Hizi mpya za MAX2 hazitoki bana..View attachment 3437057hii inatoka lock?
Umejaribu kwenda next? Naona kifurushi cha 10k kwangu wameficha page ya pili, ukiingia kwenye menu then internet then next.View attachment 3439893wakuu hii ya GB 15 kwa 10k mbona siipati hii ni airtel SME
Mkongwe, heshima yako!Toka 75 mpaka 55 so mchezo, kuna jamaa zangu wa karibu wengi wamehama Gofiber kwenda Savannah.
Sijawahi kuziona ila Aliexpress zipo za kutosha.Mkongwe, heshima yako!
Hivi, disc za Blueray empty, kama hii, kibongobongo bei yake imekaaje!?
View attachment 3439982
Ndio lakini kilichopo ni GB7 Kwa 10k au pia kile cha Gb15 kwa 15k nacho wamekitoaUmejaribu kwenda next? Naona kifurushi cha 10k kwangu wameficha page ya pili, ukiingia kwenye menu then internet then next.
Nimeona, ila naona jamaa wa AliExpress wanauza kwa slot, mimi nilikuwa nahitaji moja tu.Sijawahi kuziona ila Aliexpress zipo za kutosha.