Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kupanga ni kuchagua amua uendelee kununua Gb1 kwa 2100 au uje huku kwetu ni 1000 tu

‼️Bei zimeshuka pata‼️
HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 5,000
Gb6 kwa 6000
Gb8 kwa 8,000
Gb10 kwa 9,000
Gb11 kwa 10,000
Gb18 kwa 15,000
Gb25 kwa 20000
Na Kuendelea
0618370992
 
Halotel community line 2000 wananipa mb 985 na bonus gb 2.6 wakati mwingine bonus mpaka Gb 5
 
hiyo ni laini ya community mpya?, ya chuo?, au laini ya community ipi?

sisi tuliosajili laini za community kipindi cha nyuma, halotel wameondoa bonus.
Ya chuo kuna bonus unapewa kwa menu ya *148*55# ukijiunga kwa halopesa na pia kuna bonus zipo kwenye menu ya kawaida *148*66# ofa yangu kuna 2000 mb 985 ukitumia ndani ya 24 mb zikiisha wanakupa gb za bonus
 
Soko la ISPs saivi ni kupigana vikumbo tu kila mtu anapigana ku win market share
mmmnh imeanza lini?? mbona mimi ndio nawatumia hawa nersolution hiyo mbps 40 sio price hiyo...50k napata 20mbps.wakibadilishaga price tunatumiwa email. hili sio tangazo la kibiashara kweli????!
 

Attachments

  • Screenshot_20250901_015944_org.zwanoo.android.speedtest.jpg
    85.3 KB · Views: 37
  • Screenshot_20250901_020601.jpg
    273.8 KB · Views: 39
Ok jamani kwa anaejua anielekeze vzr nna line ya Halotel m2m natak nijiunge unlimited ile ya 50k ila kila nikienda kweny icho kifurushi cha furaha nakuta wameandika 50k-24,6GB apo kuna unlimited kwel au ndo izo GB 24 unapewa. Msaada please kwa mweny uelewa nnauhitaj
 
Hamna Unlimited sasa mpaka hapa..
 
Kikawaida hichi kifurushi ni speed kubwa hadi GB 24, speed ndogo hadi 100GB na konokono kuendelea baada ya GB 100.
 
Kikawaida hichi kifurushi ni speed kubwa hadi GB 24, speed ndogo hadi 100GB na konokono kuendelea baada ya GB 100.
Ila ni uhakika kbsa ukijiunga icho “kifahari 50k” ni unlimited mana nliongea na mtoa huduama wa halo akanambia icho ni izo 24GB utaztumia mda wwte mpk siishe ndo unlimited yko zkiisha izo ndo kifrush kimeisha, akankatsha tamaa kbsa 24GB kwa 50k siwez iy biashara
 
Uliza wanaotumia kupata uhakika 100% ila ninavyofahamu cha GB 24 ndio unlimited.
 
mmhaya imeanza lini?? mbona mimi ndio nawatumia hawa nersolution hiyo mbps 40 sio price hiyo...50k napata 20mbps.wakibadilishaga price tunatumiwa email. hili sio tangazo la kibiashara kweli????!
jamani naona kweli hawa netsolution wameongeza speed ya kudownlod hapa nimepima nimepata matokeo haya Chief-Mkwawa
 

Attachments

  • Screenshot_20250908_162710_org.zwanoo.android.speedtest.jpg
    88 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…