Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Ahsante mkuuNi kweli mkuu, hata mm nimeexperience hiyo kitu.
Solution:
1. Nenda kwenye setting za router kisha allow frequency zote kuanzia 3G mpaka 5G.
Hii imeboost speed ya internet kwangu mpaka pale nilipoizoea.
View attachment 3498508
2. Tumia VPN nzuri, kidogo inasaidia.
Hii ni speed ya kwenye simu ambako nina vpn:
View attachment 3498507
Na hii kwenye pc ambako sina vpn:
View attachment 3498509
Kuna na hii ya South Africa ambayo inaanza 25mbps kwa R299 ambayo ni sawa na 43,000 kwa pesa za tz. Lakini inategemea na ushindani wenyewe na wao watapanga vp bei zao kwa maana wanajinasibu kwamba watakuja na vifurushi vya speed kubwa kwa bei ndogoHawa Sprint wapo Uganda pia.
Hizi ndiyo package yao lilivyo kwa huko Uganda.
View attachment 3498455
Hiyo 129,000/= ya UG ni sawa 90,000/= ya TZ.
View attachment 3498456
Kwa upande wangu bado package zao ni za kawaida ukilinganisha na ISP wengine waliopo kwa sasa.
Mfano Airtel wao kwa 100,000/= wanakupa 40Mbps, na kwa 70,000/= wanakupa 25Mbps.
View attachment 3498457
Hivyo kama kweli wataleta huduma zao hapa Tanzania basi wahakikishe wanakuja na package ambazo ni nzuri zaidi ya hizo za huko Uganda. Wakicopy na paste hizo za Uganda basi watafeli mapema sana!!
Sasa hizi package wakizileta bongo, watawapiku ISP woote kwa mwezi tu.Kuna na hii ya South Africa ambayo inaanza 25mbps kwa R299 ambayo ni sawa na 43,000 kwa pesa za tz. Lakini inategemea na ushindani wenyewe na wao watapanga vp bei zao kwa maana wanajinasibu kwamba watakuja na vifurushi vya speed kubwa kwa bei ndogo
Kuna hawa net solutions wana kifurushi cha 60mbps kwa 69,000 Sema wapo slow sana kwenye coverage ila vifurushi vyao vipo competitive na savannaSasa hizi package wakizileta bongo, watawapiku ISP woote kwa mwezi tu.
Hiyo package ya 50Mbps kwa R480 (TSh. 68,000/=) imekaa poa sana sana.
Hawa Sprint inaonekana wapo nchi nyingi za Afrika, ila price zao zinadepend na sera za nchi na nchi.
Kuna hawa net solutions wana kifurushi cha 60mbps kwa 69,000 Sema wapo slow sana kwenye coverage ila vifurushi vyao vipo competitive na savanna
View attachment 3498546
Hizo kampuni ni za cable au satelite?Kuna na hii ya South Africa ambayo inaanza 25mbps kwa R299 ambayo ni sawa na 43,000 kwa pesa za tz. Lakini inategemea na ushindani wenyewe na wao watapanga vp bei zao kwa maana wanajinasibu kwamba watakuja na vifurushi vya speed kubwa kwa bei ndogo
Ni za fiber cable. Net solutions wana fiber na microwave Nimeona dar wana fiber na microwave ila Dodoma shinyanga mwanza arusha mbeya na morogoro wana microwave pekeeHizo kampuni ni za cable au satelite?
Samahani, mfano nikinunua vifurushi vyao, je kwenye ile kashkash ya 29 na wao network inakuwa haipatikani au?Kuna hawa net solutions wana kifurushi cha 60mbps kwa 69,000 Sema wapo slow sana kwenye coverage ila vifurushi vyao vipo competitive na savanna
View attachment 3498546
Yani jamaa wangepata investors na wakafanya expansion wangekula pesa za bure tu maana hata mwenye mkonga wake hana bei hiziNdiyo shida ya hawa ISP wa kujitegemea, coverage yao ni maeneo yaleyale ya mjini, ukivuka Ubungo kuja Kimara tu hawapo.
Kwenye kufungiwa internet MNOs na isps wote wamefungiwa internet. Sijui kwa satellite ila wengine wote walipewa orders kufunga mitandaoNi za fiber cable. Net solutions wana fiber na microwave Nimeona dar wana fiber na microwave ila Dodoma shinyanga mwanza arusha mbeya na morogoro wana microwave pekee
25mbps kwa watu wawili hadi watatu si inatosha kabisa mkuu?Labda kama haujui Mbps ni nini.
Lakini kibongobongo, 25Mbps ni speed reasonable kabisa ya kukufanya uishi kitajiri ktk upande wa internet
25Mbps ni sawa na download speed ya 3MB per Second.
Na katika ulimwengu halisi, kitu chenye ukubwa wa 3Gb unaweza kukidownload kwa dakika 15 tu.
Kwa hiyo kusema 25Mbps ni ndogo kwako siyo kweli, labda kama haujui tofauti ya Mbps na MB.
Hata 10 inatosha sana mkuu, as long as msiwe heavy users tu.25mbps kwa watu wawili hadi watatu si inatosha kabisa mkuu?
Yeah, matumizi ni Insta, Youtube na kustream mpira.Hata 10 inatosha sana mkuu, as long as msiwe heavy users tu.
Kama mnatumia kuperuzi na kustream hapa na pale wala haina shida.
Hapa dar maeneo ya mbezi shamba tushaikosa hiyoNi za fiber cable. Net solutions wana fiber na microwave Nimeona dar wana fiber na microwave ila Dodoma shinyanga mwanza arusha mbeya na morogoro wana microwave pekee
Vpn mkuu, natumia Airtel pia inakuja na kukata, tafuta server kama za South Africa utapata speed kama kawaida, ping za chini ya 100.Mkuu leo tokea asubuhi net ya airtel iko chini mno na inapotea potea kila,ni kwangu tu hii issue au na watumiaji wengine wa airtel wanapitia hii changamoto?
Ahsante mkuuVpn mkuu, natumia Airtel pia inakuja na kukata, tafuta server kama za South Africa utapata speed kama kawaida, ping za chini ya 100.
Kwenye taasisi mbalimbali huwa wanafunga ma-dish kunasa mawimbi ya Internet, je yale ma-dish huwa yananasa mawimbi hayo kutokea wapi na ilikuwaje hadi wap wakakumbwa na Internet blackout?.Naona Zuku wamemunuliwa na Tigo maybe watasambaa zaidi na kuacha mjini tu.
Savannah so far wao ndio wamejitutumua kutoka nje ya mji. Ramani yao inaonesha wapo mwananyamala, Sinza, Mwenge
Satelite ambazo zipo angani, kuna kampuni ambazo ni za satelite zimesajiliwa na zipo Tanzania, nazo zikiambiwa na serikali zifunge zinafunga.Kwenye taasisi mbalimbali huwa wanafunga ma-dish kunasa mawimbi ya Internet, je yale ma-dish huwa yananasa mawimbi hayo kutokea wapi na ilikuwaje hadi wap wakakumbwa na Internet blackout?.