Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,761
Vodacom wanatumia satelite mda tu haitabadili day to day matumizi yetu kama mtu utajitajika kutumia minara yao, unless wampe mtu option moja kwa moja ya ku connect na satelite ndio wa vijijini wataweza kupata fast Internet.Nimeona Reuters wanasema kuwa Vodacom wanaingia mkataba na starlink kwa ajili ya Internet Africa. Sasa nafikiri hili deal litakuja na Tanzania pia
Chief hivi Roaming Services inafanyaje kazi katika maeneo ambayo hayana Local Network providers?Vodacom wanatumia satelite mda tu haitabadili day to day matumizi yetu kama mtu utajitajika kutumia minara yao, unless wampe mtu option moja kwa moja ya ku connect na satelite ndio wa vijijini wataweza kupata fast Internet.
Watakuwa wana provide internet na pia kuuza vifaa vya starlink pia. Hii hata mitandao ikifungwa mtu akitumia vifaa vya starlink internet itakuwa kuwa on ama itakuwa vp?Vodacom wanatumia satelite mda tu haitabadili day to day matumizi yetu kama mtu utajitajika kutumia minara yao, unless wampe mtu option moja kwa moja ya ku connect na satelite ndio wa vijijini wataweza kupata fast Internet.
Yah nimeona, hii nzuri, watakuwa kama wakala.
Roaming lazima kuwe na minara, hapa Tanzania kuna minara ya Zamani Tritel ikatumiwa pia na Smart, nafkiri inamilikiwa na serikali, Incase mtandao wa simu hauna mnara eneo husika una roam kwenye hio minara, pia roaming ina maanisha mtandao mmoja kutumia minara ya mtandao mwengine, ila kukiwa hakuna mnara kabisa basi hata roaming nayo inakua haipo.Chief hivi Roaming Services inafanyaje kazi katika maeneo ambayo hayana Local Network providers?
Chief Vipi kuhusu Starlink Internet nasikia Kenya inashika nikipata device zake kwa bongo naweza kupata Signal? Na malipo yake yakoje kwa Device na monthly subscription ya starlink?Roaming lazima kuwe na minara, hapa Tanzania kuna minara ya Zamani Tritel ikatumiwa pia na Smart, nafkiri inamilikiwa na serikali, Incase mtandao wa simu hauna mnara eneo husika una roam kwenye hio minara, pia roaming ina maanisha mtandao mmoja kutumia minara ya mtandao mwengine, ila kukiwa hakuna mnara kabisa basi hata roaming nayo inakua haipo.
Signal utapata ila ni against terms zao wanaweza kukuban anytime, kuna mdau aliwahi kuleta ushuhuda humu Nmb namanga wanatumia.Chief Vipi kuhusu Starlink Internet nasikia Kenya inashika nikipata device zake kwa bongo naweza kupata Signal? Na malipo yake yakoje kwa Device na monthly subscription ya starlink?
Speed za fiber zipo vizuri unless kuwe na tatizo. Issue ya TTCL ni wao kuja kuku fungia na kuja kutengeneza incase ikiharibika.@Chief-Mkwawa nafikiria kuweka fiber ya ttcl ndio imepita huku kwetu kimara, wamesema ni 55,000 kwa mwezi, vipi speed? au bora ni nunue tu router?
Nimejaribu hii menyu kwa 10k wanakupa Gb 9.8/mwezi sio mbayaWakuu Kuna hii menyu *149*61# halotel Ina maajabu yoyote ukijiunga kifurushi mana nimeitest kwa laini za Wana haipo Ila kwangu ipo
Mkuu naomba muongozo. Kuna raia nimempa simu ya Nokia yenye android 10 ambayo haikuwa na betri. Sasa ameweka betri na kumtaka aifanyie factory data reset ili aanze nayo upya, ajabu yeye anaomba nimpe email yangu ili aweze kuifungua. Je, hili limekaaje, ni kweli kufanya reset miaka hii kumekuwa complicated kiasi hiki hadi kwamba hata hard-reset inashindwa kufungua simu?.Speed za fiber zipo vizuri unless kuwe na tatizo. Issue ya TTCL ni wao kuja kuku fungia na kuja kutengeneza incase ikiharibika.
Kama mtaani kwenu branch yake wapo fasta kukufungia na hawazingui kutoa support fiber ni bora kuliko router za kawaida.
ni kwelii kuanzia android 5 na kundelea ukifanya factory riset lazima ikiwaka ikudai email na paswordMkuu naomba muongozo. Kuna raia nimempa simu ya Nokia yenye android 10 ambayo haikuwa na betri. Sasa ameweka betri na kumtaka aifanyie factory data reset ili aanze nayo upya, ajabu yeye anaomba nimpe email yangu ili aweze kuifungua. Je, hili limekaaje, ni kweli kufanya reset miaka hii kumekuwa complicated kiasi hiki hadi kwamba hata hard-reset inashindwa kufungua simu?.
Doh, sawa. So nikimpa na kufanikiwa kuifungua hatokuta taarifa zangu ndani pamoja na hiyo email?.ni kwelii kuanzia android 5 na kundelea ukifanya factory riset lazima ikiwaka ikudai email na pasword
Kuna mtu alinishawishi kujiunga unlimited kwenye line ya sim yani bila kuwa na router. Una experience na hyo kitu, risk zakeSpeed za fiber zipo vizuri unless kuwe na tatizo. Issue ya TTCL ni wao kuja kuku fungia na kuja kutengeneza incase ikiharibika.
Kama mtaani kwenu branch yake wapo fasta kukufungia na hawazingui kutoa support fiber ni bora kuliko router za kawaida.
Mtandao gani ??Kuna mtu alinishawishi kujiunga unlimited kwenye line ya sim yani bila kuwa na router. Una experience na hyo kitu, risk zake
Inategemea mkuu na location yako, kabla hujanunua hakikisha huo mtandao husika unaupima speed eneo lako kwanza kama speed ni nzuri weka ila kama speed sio nzuri achana nao.Kuna mtu alinishawishi kujiunga unlimited kwenye line ya sim yani bila kuwa na router. Una experience na hyo kitu, risk zake