Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,781
Ndio mkuu kuna frp lock email itatakikana, sema kama hutaki kumpa email mwambie aka flash tu itatoka.Mkuu naomba muongozo. Kuna raia nimempa simu ya Nokia yenye android 10 ambayo haikuwa na betri. Sasa ameweka betri na kumtaka aifanyie factory data reset ili aanze nayo upya, ajabu yeye anaomba nimpe email yangu ili aweze kuifungua. Je, hili limekaaje, ni kweli kufanya reset miaka hii kumekuwa complicated kiasi hiki hadi kwamba hata hard-reset inashindwa kufungua simu?.
THANKS MKUUSpeed za fiber zipo vizuri unless kuwe na tatizo. Issue ya TTCL ni wao kuja kuku fungia na kuja kutengeneza incase ikiharibika.
Kama mtaani kwenu branch yake wapo fasta kukufungia na hawazingui kutoa support fiber ni bora kuliko router za kawaid
Anha okyyy asante sana boss, mana wasi wasi wangu ulikua kwenye UNLIMITED YA KWENYE LINE BILA ROUTER sijawahi sikia ndo mara ya kwanza so nikawa na doubtsInategemea mkuu na location yako, kabla hujanunua hakikisha huo mtandao husika unaupima speed eneo lako kwanza kama speed ni nzuri weka ila kama speed sio nzuri achana nao.
Na kuwa na router ama simu hakubadilishi chochote, ni ule tu usumbufu unapungua kutokana na lifestyle yako, kama ni mtu wa mishe mishe unatembea sana then line ikiwa kwenye simu itakusaidia sana.
Kuna watu waliwahi leta feedback humu inawezekana, atleast kwa baadhi ya mitandao kutumia kwenye simu. Sema kuwa tu makini matapeli pia wapo.Anha okyyy asante sana boss, mana wasi wasi wangu ulikua kwenye UNLIMITED YA KWENYE LINE BILA ROUTER sijawahi sikia ndo mara ya kwanza so nikawa na doubts
Chief tunatumia VPN ipi Samia anapofunga mitandao kama alivyofanya MO29?Ndio mkuu kuna frp lock email itatakikana, sema kama hutaki kumpa email mwambie aka flash tu itatoka.
Internet ikifungwa huwezi kuipata kwa vpn labda ubadili mtandao.Chief tunatumia VPN ipi Samia anapofunga mitandao kama alivyofanya MO29?
Sorted, Ilikuja kukubali baada ya muda so najiunga tu bila issuesNina sme menu ya voda lakini nikijaribu kulipia inarudisha muamala
Msaada.
zitakuwepo unless ikishawaka niaende kuremove account yako ya gmail kwanza then aweke ya kwakoDoh, sawa. So nikimpa na kufanikiwa kuifungua hatokuta taarifa zangu ndani pamoja na hiyo email?.
Ata kwangu ilo tatizo lipo aseee sijui Kwa ninNina sme menu ya voda lakini nikijaribu kulipia inarudisha muamala
Msaada.
Inaleta Ujumbe gani mi mara ya mwisho kujiunga nimejiunga juzi cha 75,000 kilikubaliAta kwangu ilo tatizo lipo aseee sijui Kwa nin
Hii kwa tigo ni official kabisa aende kwenye office zao tu.Kuna watu waliwahi leta feedback humu inawezekana, atleast kwa baadhi ya mitandao kutumia kwenye simu. Sema kuwa tu makini matapeli pia wapo.
Hii kwa tigo ni official kabisa aende kwenye office zao tu.
Ndio! Mimi mwenyewe binafsi nimetengeneza line ofisini kwao, unachitakiwa ni kulipia kifurushi unacho hitaji.Kwamba Tigo wanatoa UNLIMITED Internet package hata kwenye simcard pekee? Pasipo ulazima wa router?
-Kaveli-
Ndio! Mimi mwenyewe binafsi nimetengeneza line ofisini kwao, unachitakiwa ni kulipia kifurushi unacho hitaji.
Vifurushi ni vile vya 5g router.Shukrani kwa taarifa.
Vifurushi vikoje?
-Kaveli-
Kwa sasa naona iko poa jaribu kucheki tenaAta kwangu ilo tatizo lipo aseee sijui Kwa nin
Hii kwa tigo ni official kabisa aende kwenye office zao tu.
Mi nilienda Mlimany City nikaambiwa utaratibu huo haupo ila inatakiwa uwe na Router hata kama universal wanakuunganishia.Ndio! Mimi mwenyewe binafsi nimetengeneza line ofisini kwao, unachitakiwa ni kulipia kifurushi unacho hitaji.
Halotel wana 5G?????? ??????????????????????????????????????????????????????View attachment 3532295
Nawasogezeeni mzigo huu wana Jamii
View attachment 3532295
Nawasogezeeni mzigo huu wana Jamii