Halotel yenye 30mbs siijui, mimi natumia kifurushi cha 50,000 kwa mwezi ambacho wanatoa 100 gb, 24gb kwa speed ya 10mbps na inayobakia inakuwa chini ya 1mbps.Hiyo ya Halotel hakuna ambae ameitumia ili aniambie Speed yake ipoje nisije nikaingia mkenge kama Airtel kipindi kile😁
Nimewapigia watu wa TTCL Wameniambia Jumanne watakuja kujifungia ila nilipienKifurushi cha 100k Maana Fibre yao imepita katika eneo langu la kazi.
Kwa sasa ninatumia Router ya Vodacom kuna mtu aliniungia napata 30Mbps kwa 90k ila kwa hiyo Offer ya TTCL Nimeshawishika kuhamika huko na ntakuwa nalipia Package ya 100k kwa mwezi.
Kuna mtu amenipa namba za Mawakala wao nimempigia ameniambia ni kweli wanatoa Router ya 5G kwa 100k wanakupa offer ya 30Mbps kwa mwezi alafu mwezi unaofuata utaanza kulipa hizo 30Mbps kwa 70k mwezi.Halotel yenye 30mbs siijui, mimi natumia kifurushi cha 50,000 kwa mwezi ambacho wanatoa 100 gb, 24gb kwa speed ya 10mbps na inayobakia inakuwa chini ya 1mbps.
kwenye kanuni ttcl wanakataa mteja kuuzia watu net kwa namna hiyo 😁Nimewapigia watu wa TTCL Wameniambia Jumanne watakuja kujifungia ila nilipienKifurushi cha 100k Maana Fibre yao imepita katika eneo langu la kazi.
Pia kwa maravya kwanza nimeshawishika kuanza biashara ya Kuuza Internet...
Hao mpaka uwaite pembeni aisee, kama Una no Yao mtie sound atakupa,Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip Address🤦🏾♂️ kiukweli nimechoka kabisa...
Watanipa Access ya kuingia kwenye Ip Address?Hao mpaka uwaite pembeni aisee, kama Una no Yao mtie sound atakupa,
Ip address ipo Tu haiwezi ondoka, watakupa hio login page + user na pass, niliwahi kuwa nayo TTCL, pia kama router Yao ni Ile Ile hawajaibadili NI router moja Kali Sana, hakuna Fiber company yenye router nzuri kushinda zao, ukiwa na access utaenjoy mambo mengi.Watanipa Access ya kuingia kwenye Ip Address?
Hii ni kwa sababu watumiaji wengi hawawezi kufanya configuration za router wakiweka wazi unaweza kuta mtu anabadili settings na huduma inasitishwa halafu inakuwa ni gharama kuweza kumtafuta fundi airekebishe.Hao mpaka uwaite pembeni aisee, kama Una no Yao mtie sound atakupa,
Hii ni kweli pia ukiwezesha band ya 5Ghz unapata speed nzuri zaidi hasa wenye kifurushi cha kuanzia laki moja.Ip address ipo Tu haiwezi ondoka, watakupa hio login page + user na pass, niliwahi kuwa nayo TTCL, pia kama router Yao ni Ile Ile hawajaibadili NI router moja Kali Sana, hakuna Fiber company yenye router nzuri kushinda zao, ukiwa na access utaenjoy mambo mengi.
5GHZ haiongezi speed ya internet Bali ya WiFi. Assume nyumbani mpo watu 10, wote mnatumia router moja 5GHZ inasaidia wote kupata speed nzuri ila speed ya internet itabaki Ile Ile ya kifurushi chako.Hii ni kweli pia ukiwezesha band ya 5Ghz unapata speed nzuri zaidi hasa wenye kifurushi cha kuanzia laki moja.
Kaka naomba utufahamishe utofauti uliopo kati ya kutumia configurations wanazokupa wao na namna ambayo wadau wengi wanapenda kupewa uhuru wa kuichezea Router kwa namna wanavyotaka wao?.Ip address ipo Tu haiwezi ondoka, watakupa hio login page + user na pass, niliwahi kuwa nayo TTCL, pia kama router Yao ni Ile Ile hawajaibadili NI router moja Kali Sana, hakuna Fiber company yenye router nzuri kushinda zao, ukiwa na access utaenjoy mambo mengi.
Ni fiber?
halotel uwakika !Mzee jaribu HALOTEL Fibres
View attachment 3571335
naam ni fiberNi fiber?
mkuu kwa haya mambo ya sasa ya ttcl kuhama itakua ni jambo gumu sana aisee , hapo kwenyewe inabidi watupe 60/60 mbps kwenye upload speed tu ndo naona maximum inafika 30 mbps ila download ina maintain 57 to 59 mbps vyema sanaMzee jaribu HALOTEL Fibres
View attachment 3571335
Naomba namba za wakala mkuuKuna mtu amenipa namba za Mawakala wao nimempigia ameniambia ni kweli wanatoa Router ya 5G kwa 100k wanakupa offer ya 30Mbps kwa mwezi alafu mwezi unaofuata utaanza kulipa hizo 30Mbps kwa 70k mwezi.
Speed yao ikoje?Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip Address🤦🏾♂️ kiukweli nimechoka kabisa...