Mimi Games napenda sana kuliko movies.Safi mkuu kula maisha
Me gamer nacheza sana Efootball na PUBG
Anhaaa, sawa mkuu. Asante kwa feedback.ni ya cellular(router)
😃😃UtengweeMimi Games napenda sana kuliko movies.
Games nimecheza
Call of Duty modern warfare II,
Call of Duty modern warfare III,
Call of Duty modern warfare IV,
Call of Duty Black Ops 1
Call of Duty Black Ops 2
Medal of Honor 3 sijui 5 ileee, mnapambana na Taliban, Game ya moto saana hii.
Call of duty V World at War WW II
FIFA nimecheza hadi 15
EA sport ya 26 nilicheza ktk PS5 kwa mshkaji.
Nimeona kuna Call of Duty mpya kuanzia 2019 hadi 2022, inabidi nitafute Gaming PC. Hii sasa itakuwa mwisho wa mwaka.
Nimesahau kumention😃😃Utengwee
Me games za mission zinanishinda huwa nawai kuzichoka... Napenda Hizi za One V oneNimesahau kumention
Battlefield IV
Project IGI zote
Far Cry 3
Zingine sikumbuki, hizo nimecheza hadi nimemaliza mission zote kasoro Far Cry III
Pole saana, za mission zina story nzuri ya kusisimua.Me games za mission zinanishinda huwa nawai kuzichoka... Napenda Hizi za One V one
Au tafuta app inaitwa youcine tv ina chaneli za michezo za mkaburu na za ligi ya bongoAcha utani mkuu. Nilitaka nistop kulipia Azam sababu ligi ya Bongo hadi mwez wa 8 sijui wa 9 huko.
Nitaifuta kaka.Au tafuta app inaitwa youcine tv ina chaneli za michezo za mkaburu na za ligi ya bongo
NB
Hiyo app itafute google
kiongozi, ushenzi wa airtel ni upi? uaweza ukatufafanulia hapa kiundani tukafahamu maana mimi natumia rouuter yao hapa.GB 36 per day ndiyo limit kwa Yas ukizidi hapo wana throttle speed... It worth lakini kua na Yas upande mwingine kuliko hawa Airtel washenzi sana..
mkuu sasalamu zako. naomba unielezee hiki kitu. jf kwa sasa napata tabu kufungua hizi picha. natumia simu kwa kutumia screen-reader. jf kwetu watu tusioona inatusumbua tangu waibadilishe.Kupanga ni kuchagua sasa
Pitia uzi kuanzia 530 kuna watu wame suggest options nyingine rafiki..Airtel kwa home rooter ni 70k , hii kwangu naona inanisumbua ghali ikiwa matumizi yangu madogo aise nataka kuwakacha na fiber hawajafika mtaani kwangu optional nyingine rahisi ata speed ikiwa chini like 10mbps sio mbaya sina matumizi makubwa.
Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.Kuna mahali nimeona Airtel kile kifurushi cha 10mbps kwa 70k sasa ni 25mbps kwa bei hiyohiyo. Wakuu hii ni kweli?
Nilipanga mwezi huu ndo iwe mwisho wa Airtel nivute tu Fiber ya TTCL.
iNine9 Chief-Mkwawa
Kwa mkupuo ni kama miezi mingapi? Wakati navuta hii kwa mara ya kwanza nikataka nilipe kwa mkupuo wakasema hawana hiyo option. Nikawaona mizinguo, FIBER ya TTCL naona wao wanayo hiyo option.Ndio Airtel ni 25mbps sasa hivi. Pia kama unajiweza ukilipa kwa mkupuo bei inashuka Sana, chini ya 60,000 kwa mwezi.
Kuna miezi 3 na 6,Kwa mkupuo ni kama miezi mingapi? Wakati navuta hii kwa mara ya kwanza nikataka nilipe kwa mkupuo wakasema hawana hiyo option. Nikawaona mizinguo, FIBER ya TTCL naona wao wanayo hiyo option.
Ni mwaka sasa tunapata 25Mbps kwa 70K. Wale wa 100K walipandishiwa mpaka 40Mbps kutoka 30Mbps.Kuna mahali nimeona Airtel kile kifurushi cha 10mbps kwa 70k sasa ni 25mbps kwa bei hiyohiyo. Wakuu hii ni kweli?
Nilipanga mwezi huu ndo iwe mwisho wa Airtel nivute tu Fiber ya TTCL.
iNine9 Chief-Mkwawa
Ukiingia kwenye menu standard vifurushi ni vya siku 30, hivi huwa havibadiliki.Kwa mkupuo ni kama miezi mingapi? Wakati navuta hii kwa mara ya kwanza nikataka nilipe kwa mkupuo wakasema hawana hiyo option. Nikawaona mizinguo, FIBER ya TTCL naona wao wanayo hiyo option.
Mbona nilinunua mwaka jana router yao ya ODU na kifurushi cha 10mbps kwa 70,000.Ni mwaka sasa tunapata 25Mbps kwa 70K. Wale wa 100K walipandishiwa mpaka 40Mbps kutoka 30Mbps.