Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wewe jamaa ni last born kwenu?

Kila siku unauliza swali hilohilo? Huna maamuzi licha ya watu kukuelekeza kila siku, ndio maana wameona wakaushe sasa.

Jitambue basi, kuwa Gentleman.
 
Wewe jamaa ni last born kwenu?

Kila siku unauliza swali hilohilo? Huna maamuzi licha ya watu kukuelekeza kila siku, ndio maana wameona wakaushe sasa.

Jitambue basi, kuwa Gentleman.
Lazima apate majibu mazuri yakumridhisha fiber sio kama line unanunua ikizingua unatupa.. watu wanatoboa nyumba wanaleta usumbufu mwingi.
 
Mods mna filter replies za nini aisee!? Mnataka tusielezee madhaifu ya makampuni au madudu yao, mnafeli sana kufuta replies ambazo zinaelezea ukweli yanayoendelea nyuma ya pazia ya hizi kampuni... Acheni comments zote wazi watu wasome wafanye maamuzi sahihi, hakuna sehemu tumetukana..

Negative feedbacks sio matusi ni sehemu ya kuzifanya hizi kampuni za fibers zijirekebishe na kufanyia kazi mapungufu yao ili baadae tuje tuwasifie kwa mazuri hayo kama mnataka hivyo...
 
Kheeeeeeeeee
Tupo mbinu tusome hizo hidden au deleted comments
 
Yas 48 kwenye site Yao, japo ni 20mbps, pia wao kwa maeneo waliochagua hawana competition kivile.
Issue yangu mimi ni hiyo, 20Mbps kiukweli si spidi ya kuwapatia watu, ilhali nchi ina capacity kubwa mno kwenye Fiber. Tufanye 50Mbps ndio iwe kiwango cha chini kwa bei ya 40k hadi 55k.

15-20Mbps kiwe kifurushi kwa watu wa hali ya chini na bei iwekwe ndogo tuseme 20k Per month. Kila mtu afurahie Internet bila kipimo.
 
Tutafika huko ila mpaka userbase iwe kubwa, maana usipolipa fixed cost huwezi Ku run biashara.
 
Tutafika huko ila mpaka userbase iwe kubwa, maana usipolipa fixed cost huwezi Ku run biashara.
Kweli, nimepata hope kuwa tunaelekea mwelekeo mzuri.

Kwa sasa ninaona ni Vodacom, Yas, Airtel na Zuku ndio bado wanaturudisha nyuma kwenye harakati hizi. Ifike pahala Tanzania kwenye Internet speed test tuwe vinara Afrika.
 
Mmeona kufru ya Savannah Fiber...?! Watu wa Daslam mna enjoy...


View attachment 3599076
Niliwahi kuwa sehemu wanatumia fiber ya Savanna na mwingine Voda. Zote mbili nilitest. Hii mitandao miwili inatembea saana kwenye speed. Wanatisha sana mkuu.

Last weekend nilikuwa kkoo nikapewa nitumie ya TTCL. Nayo ilikuwa ya moto kweli kweli ila wakasema ikizungua kuwapata ni ngumu, inaweza chukua hadi siku nne, na kuna siku mtandao unakuwa chini.
 
unaweza kuwa na best sollution pc ya amd kwa bei fhiyo?
Graphics wise Vega zipo outdated, ukipata yenye rdna GPU ni nzuri zaidi, sema sio nyingi mtaani inabidi utafute Sana,

Options ni Ryzen zinazoishiwa na 35, 40 na 45 mfano Ryzen 7840U, 7735U, 7640, 8640, 8840 etc.

Tatizo la wauzaji wengi watakwambia Tu hii ina Ryzen inabidi uanze kugoogle mwenyewe moja baada ya nyengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…