Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Naona kilio cha FUP kimehamia kwenye Fiber
tt_cl wameanza mwezi huu
Daaah!! Yale yale ya Airtel walivyo ongeza speed kwa same price tag ya 70k kutoka 10mbps kwenda 25mbps FUP ikaanza kulamba watu haraka.. huenda TTCL zamani pia ilikuepo ila walkua hawaifikii, maana kutoka 20mbps to 60mbps kwa gharama ileile 55k sio kitoto, it was a trap sasa kama ni hivyo vilio vimeanza..
 
Haimake sense fiber kuwa na CAP,

4G ina capacity issue, mkiwa wengi inapungua speed, ila Fiber ni direct inaingia kwenye mkonga, na wangekua na capacity issues why waongeze speed mpaka 60mbps?
 
Haimake sense fiber kuwa na CAP,

4G ina capacity issue, mkiwa wengi inapungua speed, ila Fiber ni direct inaingia kwenye mkonga, na wangekua na capacity issues why waongeze speed mpaka 60mbps?
Ni kitu ambayo nafikiria toka jana kama ni kweli au laah kwa maana fiber kweli internet inatoka kwenye mkongo tena hawa TTCL ni kujipakulia minyama tu, how could it be possible waanze uhuni kama huo? Ngoja tufatilie tuone maana hii nchi ya maelekezo [emoji16] haishindwi kitu, bongo wanachi wake kua na internet ya uhakika inaonekana kama ANASA saa zingine..
 
Haimake sense fiber kuwa na CAP,

4G ina capacity issue, mkiwa wengi inapungua speed, ila Fiber ni direct inaingia kwenye mkonga, na wangekua na capacity issues why waongeze speed mpaka 60mbps?
hata HIZI fiber zina capacity issues, hao providers wapo kwenye mifumo ya passive optical networks, ambayo kimsingi ni SHARED
gpon ni 5G iliyochangamka SANA²
 
hata HIZI fiber zina capacity issues, hao providers wapo kwenye mifumo ya passive optical networks, ambayo kimsingi ni SHARED
gpon ni 5G iliyochangamka SANA²
I doubt, huo waya wao tayari ni multi gigabit, unless wamess kwenye backbone/Hub/splitter zao huko ni rahisi kuongeza capacity, Tofauti na mobile data ambazo minara yake ina gharama kubwa.

Na haimake sense kuongeza speed toka 20 Hadi 60 huku una capacity issue.
 
Balaa sasa hili mkuu.
 
Mimi nimeona Speed imeshuka, nikapiga simu huduma kwa wateja wakaniambia watanirudia lkn moaka leo kimya, kumbe jamaa wana data cap... Ngoja niamie savanna tu.
 
Mimi nimeona Speed imeshuka, nikapiga simu huduma kwa wateja wakaniambia watanirudia lkn moaka leo kimya, kumbe jamaa wana data cap... Ngoja niamie savanna tu.
Hii ndio solution pia nataka kuweka Savana .Kwanza bei yao ni 49k na sijasikia malalamiko kwa mtu hata mmoja so far.

Ttcl walitutumia msg kuomba radhi kuhusu speed ila hamna kilichobadilika. Uzuri sehemu ina kila Fiber unayotaka, kulalamika ni kujitakia tu.

Kuna wengine wanaitwa Neso nimeona wamebandika matangazo yao kwenye nguzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…