Hayo mambo hadi uwe ume ROOT simu.Mkuu kuna application nimefanikiwa kuipata inaitwa android emoji changer Ila ndani yake kuna maswala ya customer recovery Sijui ndo nini.View attachment 813962View attachment 813961View attachment 813963View attachment 813964
Mkuu tayar nina root access hata hapo ukiangalia vizur wananiambia you're rooted.Hayo mambo hadi uwe ume ROOT simu.
Inakubidi uwe ume install TWRP au CWMMkuu tayar nina root access hata hapo ukiangalia vizur wananiambia you're rooted.
Backup ndio uendeleeMkuu tayar nina root access hata hapo ukiangalia vizur wananiambia you're rooted.
Tatizo ni emoji font ya simu yangu sijaipenda kwa kweli.ebu angalia hapo huo ndo muonekano wa emoji zangu.Inakubidi uwe ume install TWRP au CWM
ufanye backup ya system yako iliyopo sasa ili ikitokea tatizo simu ikashindwa kuwaka basi una restore tu system ambayo ume backup.
But why usitumie ushauri wa kutumia tu keyboard, unaweza haribu simu kwa vitu vidogo tu kama emoji's.
Shukrani sana mkuu Ila imebidi kabla ya ku backup ni ombe ushauri kwanza.Backup ndio uendelee
Na upande wa Internet vpYajayo yanafurahisha View attachment 813080
[emoji15] [emoji15] [emoji15]...................................................................................................................................... airtel wameondoa kifurushi cha usiku
Unabonyeza code gani kupata hiyoBooooom!!!!? TTCL wafanya yao offer maalumu napata GB4.5 kwa buku mia 2 siku 13
Cha halotel unajiungaje mkuukifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.
kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.
pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.
Mbona Hiyo Ofa siioni unapiga Ngapi C-venture
*148*30# kisha option ya 3 ama ya 4 kumeandikwa kama bandika bandua hivi utaona kuna vifurushi vingi vingi.Unabonyeza code gani kupata hiyo
Icho kifurushi kipo tangu mfungo wa ramadhaniCha halotel unajiungaje mkuu