Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu tayar nina root access hata hapo ukiangalia vizur wananiambia you're rooted.
Inakubidi uwe ume install TWRP au CWM
ufanye backup ya system yako iliyopo sasa ili ikitokea tatizo simu ikashindwa kuwaka basi una restore tu system ambayo ume backup.

But why usitumie ushauri wa kutumia tu keyboard, unaweza haribu simu kwa vitu vidogo tu kama emoji's.
 
Inakubidi uwe ume install TWRP au CWM
ufanye backup ya system yako iliyopo sasa ili ikitokea tatizo simu ikashindwa kuwaka basi una restore tu system ambayo ume backup.

But why usitumie ushauri wa kutumia tu keyboard, unaweza haribu simu kwa vitu vidogo tu kama emoji's.
Tatizo ni emoji font ya simu yangu sijaipenda kwa kweli.ebu angalia hapo huo ndo muonekano wa emoji zangu.
Screenshot_2018-07-20-14-28-48.jpg
 
...................................................................................................................................... airtel wameondoa kifurushi cha usiku
 
kifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.

kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.

pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.
Cha halotel unajiungaje mkuu
 
Mbona Hiyo Ofa siioni unapiga Ngapi C-venture
Unabonyeza code gani kupata hiyo
*148*30# kisha option ya 3 ama ya 4 kumeandikwa kama bandika bandua hivi utaona kuna vifurushi vingi vingi.

Sema si mb zote unatumia mchana nyengine ni za usiku. Ila nilichopendea ni kwamba usiku ni saa 2 na sio usiku wa manane kama vifurushi vya kawaida vya usiku.
 
Chief mkwawa na wengine nisaidie kitu nimekosea nimetuma mesage kwenye group sasa nataka kudelete hainipi option ya ku delete all inanipa option ya delete for me na imepita nusu saa tangu nimetuma sasa msaada jinsi ya kudelete mesage kwawote kwenye group baada ya kupita nusu saa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom