Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Rudisha tarehe nyuma mkuu nenda ukatoe ile automatically date updates iwe manual then set siku saba nyuma zilizopita alafu ingia whatsapp utafanikisha hilo mkuu.Chief mkwawa na wengine nisaidie kitu nimekosea nimetuma mesage kwenye group sasa nataka kudelete hainipi option ya ku delete all inanipa option ya delete for me na imepita nusu saa tangu nimetuma sasa msaada jinsi ya kudelete mesage kwawote kwenye group baada ya kupita nusu saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa kiongozi ninabadili kwenye seting au wapiRudisha tarehe nyuma mkuu nenda ukatoe ile automatically date updates iwe manual then set siku saba nyuma zilizopita alafu ingia whatsapp utafanikisha hilo mkuu.
Nenda kwenye settings ya simu yako, kwenye time set manual halafu fanya kama alivyoelekeza mdau hapo juu. Ukimaliza ingia kwenye WhatsApp yako ikikubali futa huo ujumbe.Nairudisha wapi kwenye setting au naomba unieleweshe vizuri kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dakika 7 tu zikipita hizo huwez kudelete msg all!. Option ya kudelete for all ipo within 7 minutesChief mkwawa na wengine nisaidie kitu nimekosea nimetuma mesage kwenye group sasa nataka kudelete hainipi option ya ku delete all inanipa option ya delete for me na imepita nusu saa tangu nimetuma sasa msaada jinsi ya kudelete mesage kwawote kwenye group baada ya kupita nusu saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namna nyingine ya kudelete baada ya dakika 7Ni dakika 7 tu zikipita hizo huwez kudelete msg all!. Option ya kudelete for all ipo within 7 minutes
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jinsi!. Umekosea nusu saa nzima mkuu hufuti? Sasa hata saiz unafuta ili iweje maana kila mtu atakuwa amesoma na screen shot wamechukua tayar
Nimetafuta msaada wa kuifuta mesage hayoyote ya nini ndugu yanguHakuna jinsi!. Umekosea nusu saa nzima mkuu hufuti? Sasa hata saiz unafuta ili iweje maana kila mtu atakuwa amesoma na screen shot wamechukua tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmejaribu kufikir tu kwanini uhangaike saiz?. Anyway mi najua ni within 7 minutes jaribu ku-google uone kama kuna option nyingine. Kila laheri
Inawezekana mkuu pengine tu labda hufahamu ila inawezekana hilo.Ni dakika 7 tu zikipita hizo huwez kudelete msg all!. Option ya kudelete for all ipo within 7 minutes
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unafanya hizo steps kumbuka kuzima data mkuu cheza na hizo siku mengine unajiongeza mkuu ila hiyo njia ndo iliyopo kwa sasa boss wangu usiwashe Data on.
Mimi nimesoma hayo maelekezo nikajiribu kutafuta text ya WhatsApp yenye option ya delete for me.
Baada ya kurudisha muda nyuma. Ikanipa option ya Delete for everyone.
Inafanya kazi mkuu, fuata maelekezo tu.
Hans Pol
Si ina bidi pesa utume kutoka tigo kwenda TTCL kwanza ndio ununue salio au ujiunge moja kwa moja kama TTCL wana huo mfumo.Mkuu nataka kununua GB10 za TTCL usiku pack ila pesa ipo tigo pesa nakwama kwenye sehemu ya kumbukumbu namba ndio namba gani hiyo kiongozi...?
Thanks.
ya Cmu ya ttcl ndio unaingiza hapo.. ili kununua vocha ya ttcl kwa tigo pesaMkuu nataka kununua GB10 za TTCL usiku pack ila pesa ipo tigo pesa nakwama kwenye sehemu ya kumbukumbu namba ndio namba gani hiyo kiongozi...?
Thanks.
Si ina bidi pesa utume kutoka tigo kwenda TTCL kwanza ndio ununue salio au ujiunge moja kwa moja kama TTCL wana huo mfumo.
Hapo kwenye namba ya kumbukumbu umepiga menu ipi hadi ukafika hapo maana ninavyo jua mimi hiyo sentensi mara nyingi ipo kipengele cha kulipa bili, au kufanya malipo.
Piga menu ya tigo nenda tuma pesa, kisha mitandao mingine then chagua T-pesa.
Number yako
ya Cmu ya ttcl ndio unaingiza hapo.. ili kununua vocha ya ttcl kwa tigo pesa
Ni 212121Number yako
ya Cmu ya ttcl ndio unaingiza hapo.. ili kununua vocha ya ttcl kwa tigo pesa