Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chief mkwawa na wengine nisaidie kitu nimekosea nimetuma mesage kwenye group sasa nataka kudelete hainipi option ya ku delete all inanipa option ya delete for me na imepita nusu saa tangu nimetuma sasa msaada jinsi ya kudelete mesage kwawote kwenye group baada ya kupita nusu saa

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudisha tarehe nyuma mkuu nenda ukatoe ile automatically date updates iwe manual then set siku saba nyuma zilizopita alafu ingia whatsapp utafanikisha hilo mkuu.
 
Nimeenda kwenye manegement-then date and time - nikatoa ile automatic-nikaset tarehe 22 ikakubali , nikaingia whasap bado hainiletei option ya delete all inaleta dellete for me only

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief mkwawa na wengine nisaidie kitu nimekosea nimetuma mesage kwenye group sasa nataka kudelete hainipi option ya ku delete all inanipa option ya delete for me na imepita nusu saa tangu nimetuma sasa msaada jinsi ya kudelete mesage kwawote kwenye group baada ya kupita nusu saa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dakika 7 tu zikipita hizo huwez kudelete msg all!. Option ya kudelete for all ipo within 7 minutes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona hii screen shot yangu ilivyo set kama hivi huku umezima data alafu angalia hiyo text ulituma lini kama mfano nimetuma jana na leo ndo nataka nifute basi ntaweka tar ya jana nitafanikisha hilo lakini kumbuk haya yote yanafanyika wakati umezima DATA mkuu.
IMG_20180829_082954.jpg
 
Mimi nimesoma hayo maelekezo nikajiribu kutafuta text ya WhatsApp yenye option ya delete for me.
Baada ya kurudisha muda nyuma. Ikanipa option ya Delete for everyone.

Inafanya kazi mkuu, fuata maelekezo tu.

Hans Pol
 
Mkuu nataka kununua GB10 za TTCL usiku pack ila pesa ipo tigo pesa nakwama kwenye sehemu ya kumbukumbu namba ndio namba gani hiyo kiongozi...?

Thanks.
 
Mkuu nataka kununua GB10 za TTCL usiku pack ila pesa ipo tigo pesa nakwama kwenye sehemu ya kumbukumbu namba ndio namba gani hiyo kiongozi...?

Thanks.
Si ina bidi pesa utume kutoka tigo kwenda TTCL kwanza ndio ununue salio au ujiunge moja kwa moja kama TTCL wana huo mfumo.

Hapo kwenye namba ya kumbukumbu umepiga menu ipi hadi ukafika hapo maana ninavyo jua mimi hiyo sentensi mara nyingi ipo kipengele cha kulipa bili, au kufanya malipo.

Piga menu ya tigo nenda tuma pesa, kisha mitandao mingine then chagua T-pesa.
 
Number yako

ya Cmu ya ttcl ndio unaingiza hapo.. ili kununua vocha ya ttcl kwa tigo pesa

Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.

Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.

Voda wako vizuri aisee.
 
Back
Top Bottom