Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

GB 1 niliyokuwa naipata kwa 1000 voda ndio napata Zantel kwa bei hiyo hiyo wakati sahivi voda hupati 1GB bila 1500 au 2000 kama sikosei.
Voda piga *149*03# chagua SUPA UNI kupata 1GB kwa buku
 
Umeona eeh Nilijua tatizo ni simu yang kumbe tatizo ni aina ya kifulushi walicho kiweka.
Kwa hili haloteli mjilekebishe
Hichi kifurushi mi nakitumia ni kizuri kwa kudownload kama unatumia torrent basi utakifaidi sana lakini kuperuzi hakifai labda usiku manane
 
Halotel gb 13 kwa week kwa 6500

Kipo



Pm no spam!!
 
Unavipataje vifurushi vya whatsap tu kwa tigo na halotel
 
Nimepost but wameremove thread bila kuhoji na kujilizisha kwamba ni fake au vipi, disappointment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…