Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Likewise jana nmeunga pia..hivi ile menu ya kupata gb10 za tigo mbona kama haitambuliki nkiingiza,au ni ipi mkuu?
mpaka wakuchague mkuu, mara nyingi wanawapa watu wanaopiga simu tu bila kutumia internet, kama una ki line chako cha tigo umekieka kwenye simu ya tochi jaribu huko,
 
kwa airtel kidogo umekosea hyo 1.2GB ni 500tsh na si kwa 600
 
Ila ttcl inabidi wajiongeze sana huku bunju internet yao inazingua sana....vocha hakuna madukani...laini mpka smartphone tu. Hapa mjini inasumbua hivi sasa huko mikoani itakuaje? Wajipange sana waje na vifurushi vya maana
Unaweza kununua Voucher zao kupitia M-pesa wana Paybill no. Yao
 
kwa airtel kidogo umekosea hyo 1.2GB ni 500tsh na si kwa 600
Hajakosea hiyo ya mia5 ni kwa menu ya *149*81# na inakaa siku moja na hutumika na vocha ya kawaida,ila hiyo ya 600 ni kwa vocha za uni255 tu na inakaa siku 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…