Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

yap, huwa napenda niwe na line zote, nchi hii kila eneo mtandao fulani ni bora kuliko mwengine
Nimekusoma sana
Mfano mimi eneo nilipo mitandao mingine haipo fresh signal zinapotea potea hovyo lakini tigo iko safi
 
kuna offer kabambe pia ina vifurushi vyote vya chuo hata kama huna line ya chuo, ila kinachomisi ni hiko tu. na watu wengi wanakiulizia.
Unamaanisha Ofa kabambe kupitia airtel money.
Naona labda wakiruhusu kwa kila laini watapata hasara
 
Unamaanisha Ofa kabambe kupitia airtel money.
Naona labda wakiruhusu kwa kila laini watapata hasara
yap airtel money, na ipo namba ya kawaida pia ila nimeisahau kidogo mpaka nikiwa na line ya airtel karibu naweza kuiangalia.
 
page ya 12 uzi huu utaiona au click hapa

Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu

kuna namba unaitumia 600 kwa airtel money inakupa hicho kifurushi, sijaitumia ila wadau wanasema inafanya kazi.
Mkuu imekubali ndani ya sekunde tu jamaa katuma details.
Screenshot_2017-11-08-15-21-41.png
 
Mkuu hii inakuwaje? nisaidie na mm
MELEZO HAYA HAPA.
Jamani kile kifurushi cha 10GB kwa 600/= bado kipo kuna trick ya kukipata hebu fanya hivi weka pesa kwa AIRTEL MONEY account yako hata buku hivi then tuma tsh 600/= kwa hii No. 0785566273 utaona jina FRANK LUGANO usiogope huyu jamaa ni balozi wa airtel wa chuo kikuu cha UDOM baada ya muamala wako kukamilika just ni dk.0 tu anakutumia SMS yenye jina lako kamili ulilosajiria laini yako ya Airtel ya kukushukuru then kama sekunde kadhaa hivi anatuma SMS yenye namba za UNI na maelezo jinsi ya ya kuzijaza kwa maana sio za kujaza tu kama vocha zingne kwa mnaotumia hizi vocha za UNI nadhani mtakua mnajua ambavyo huwa tunajaza unapiga *149*94* namba za hiyo then # unapata 10GB zako tu kwa siku 3 kuanzia saa 5 usiku mpaka majogoo spidi ya fastje,Na hii huduma ananunua mtu yeyote yule mwenye laini ya airtel kwa kufuata procedures nilizokupeni hapo juu haijalishi ni mwana chuo au mtu wa kitaa ni kwa wotee .
TRUST ME GUYS WORRY OUT IT IS ABSOLUTELY LEGAL TRICK!

Me nimekua nikitumia sana kwa muda mrefu najilia vyangu tu kuanzia saa 5 usiku nikijiunga na kama utapata tatizo au umekwama mahala flani usisite niulize nakuelekeza vizuri.
 
Hivi naweza nikaifanya namba yangu ya kawaida iwe ya chuo
 
Back
Top Bottom