Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

which means 2000 unapata 4.8GB na itumike ndani ya maximum siku 4 na masaa kadhaa.

still 2000 kwa GB5 kwa mwezi mzima ni offer nzuri.
Mr. Hii offer ya Gb 10 kwa 600 ya airtel imesharudi hewani? Maana jamaa alinitumia sms, nikampigia lkn namba haikupatikana. Tangu siku hiyo line ya airtel nimeiweka pemben.
 
kanunue chuo, mimi huwa naenda na kiasi cha fulani cha hela nanunua hata za miezi miwili mitatu. uzuri wake zinachukua muda mrefu sana ku expire.
 
Samahani.
Huwa kuna vocha special au ni kwa wakala anakuunganisha km yule mr alivyokuwa anafanya?
 
ni vocha mkuu unakwangua na kuweka zipo kama hivi

1425378815588-jpg.231462
 
Hii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
Pole sana.
 
Back
Top Bottom