aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
😂😂. Dah, nimecheka mkuu kama mambo mazuri! 😂😂😂Hehehehhe sema unataka nikupe mchongo pia. Nishamaliza hiyo nipo nadondosha mizigo ya maana na uprimature wangu.
A quick note: JF is not the only platform ya kupata taarifa its just a matter of priority. Toka 2017 nipo hapa na upremature wangu nimepata taarifa za kutosha kutokana na mahitaji yangu.
You are such a pathetic poorly thinking adult unashindwa kuwaza kwa kushauri we unawaza kuwaza kuchambua mambo ambayo hauna uwakika nayo by bringing bully statements.
Just to bold it up again: unataka wewe mchongo nikupatie sema tuu.
Umeamua uweke na lugha ya malkia kidogo kwa kusisitiza, 😂😂😂 sasa hili tuseme povu au 😂😂😂 yaani umetililika vibaya mno 😂😂😂