Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Screenshot_2023-10-07-17-43-30-101_org.zwanoo.android.speedtest.jpg
 
G
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore

Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.View attachment 2773966
mimi Natumia supa kasi ya 4G hapa Zanzibar Sema voda ikifika mida ya saa2 usiku mpaka saa4 internet yao inakuwa slow Hata 1mbps haifiki. Saivi napigana nao Ttcl waje kuunga fiber.
 
Hivi Ttcl ya dish inakuwa na speed nzuri kama ya fibre au?
 
Kama walivyoshauri wadau,kesho napanda dar nakwenda nunua hio router hapo airtel Morocco.
Eneo unaloishi Airtel inashika vizuri lakini?

Kabla hujapanda Dar hakikisha factors zote ziko considered hasa hasa 4G/5G iwe ya uhakika eneo uliloko maana hizi router hazina 3G kushuka chini..

Chakata factors zote kisha uchague kati ya Airtel na Vodacom yupi atakufaa..
 
Nilipo airtel inapiga kazi fresh sana..kuna 4G
 
Back
Top Bottom