Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi Natumia supa kasi ya 4G hapa Zanzibar Sema voda ikifika mida ya saa2 usiku mpaka saa4 internet yao inakuwa slow Hata 1mbps haifiki. Saivi napigana nao Ttcl waje kuunga fiber.Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore
Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.View attachment 2773966
Hivi Ttcl ya dish inakuwa na speed nzuri kama ya fibre au?G
mimi Natumia supa kasi ya 4G hapa Zanzibar Sema voda ikifika mida ya saa2 usiku mpaka saa4 internet yao inakuwa slow Hata 1mbps haifiki. Saivi napigana nao Ttcl waje kuunga fiber.
Uko eneo gani?G
mimi Natumia supa kasi ya 4G hapa Zanzibar Sema voda ikifika mida ya saa2 usiku mpaka saa4 internet yao inakuwa slow Hata 1mbps haifiki. Saivi napigana nao Ttcl waje kuunga fiber.
Eneo unaloishi Airtel inashika vizuri lakini?Kama walivyoshauri wadau,kesho napanda dar nakwenda nunua hio router hapo airtel Morocco.
Nipo eneo la Malindi na nipo 100m na mnara waoUko eneo gani?
Kwa nilivowasikia la dish na fiber bei yao sawa sawa ya vifurushi na speed zakeHivi Ttcl ya dish inakuwa na speed nzuri kama ya fibre au?
Point hapo mkuu ni 5G, Airtel wana 5G Znz? Kama hawana hii offer hutaikuta.Ni airtel makao makuu mlandege..
Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.
Kwa Tigo hawana. Nlienda mpaka makao makuu yao ya hapa znz Lkn hawana huduma Kama ya SupaKasiPoint hapo mkuu ni 5G, Airtel wana 5G Znz? Kama hawana hii offer hutaikuta.
Tigo nimeona wana 5G Znz maybe ulizia kwao? Kulikua na tetesi na wao wana huduma kama supakasi.
Then labda mufuate huo ushauri, Sajili Dar unlimited Eneo lenye 5G, beba Router endelea kutumia Znz na 4G.Kwa Tigo hawana. Nlienda mpaka makao makuu yao ya hapa znz Lkn hawana huduma Kama ya SupaKasi
Nilipo airtel inapiga kazi fresh sana..kuna 4GEneo unaloishi Airtel inashika vizuri lakini?
Kabla hujapanda Dar hakikisha factors zote ziko considered hasa hasa 4G/5G iwe ya uhakika eneo uliloko maana hizi router hazina 3G kushuka chini..
Chakata factors zote kisha uchague kati ya Airtel na Vodacom yupi atakufaa..
Kama uko malindi na unapata speed ya konokono...niliko mimi si ndo itakua majanga zaidi. Mda huo ndio nahitaji internetNipo eneo la Malindi na nipo 100m na mnara wao
Airtel 4G ipo mkuuPoint hapo mkuu ni 5G, Airtel wana 5G Znz? Kama hawana hii offer hutaikuta.
Tigo nimeona wana 5G Znz maybe ulizia kwao? Kulikua na tetesi na wao wana huduma kama supakasi.
Nishawajuulisha mara nyingi tu Lkn tatizo lipo pale pale alf kwa Zanzibar yote. Ila dar ipo fresh 24/7 hapa Zanzibar tu ikifika from saa2 usiku mpaka saa4 au 5 speed ya kono konoKama uko malindi na unapata speed ya konokono...niliko mimi si ndo itakua majanga zaidi. Mda huo ndio nahitaji internet
Basi itakufaa sana sana[emoji736]Nilipo airtel inapiga kazi fresh sana..kuna 4G
Nilijaza fom naona account yao imechelewa kutoka nawapotezea tuNishawajuulisha mara nyingi tu Lkn tatizo lipo pale pale alf kwa Zanzibar yote. Ila dar ipo fresh 24/7 hapa Zanzibar tu ikifika from saa2 usiku mpaka saa4 au 5 speed ya kono kono
MImi natumia ile laini ya super kasi muda tu,ni vigezo gani vitanifanya nipate hiyo router au naweza kununua tu kwa hiyo 120k?
Hapa ni unafanya vyooote mpaka unakosa cha kufanya, unabaki unahurumia unlimited yako tuu[emoji3][emoji3][emoji3]