Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa maelezo yao, hio ni port ya kuweka powerbank kama unataka ya ziada.
Una maanisha ni port inayotumika kupitisha moto kuweza kuifanya Router iwe on?

Maana nishajaribu kutumia powerbank kuchomeka kwenye hiyo port lakini Router haikuwaka.

Pia wakati Router ipo on nlijaribu kutumia dual USB-C nikachomeka kwenye simu kisha nikachomeka na kwenye Router lakini kwenye simu haikuonesha respond yeyote hata chaji tu haikupitisha.

Mpaka saizi sijajua hiyo port ina matumizi gani na lile karatasi la user guide sikumbuki nilipoliweka.
 
Siku nilipokua nanunua yangu nilipata kuwauliza..hayo ndio majibu walinipa.

Bado sijawahi kuijaribu
 
Una maanisha ni port inayotumika kupitisha moto kuweza kuifanya Router iwe on?

Maana nishajaribu kutumia powerbank kuchomeka kwenye hiyo port lakini Router haikuwaka.

Pia wakati Router ipo on nlijaribu kutumia dual USB-C nikachomeka kwenye simu kisha nikachomeka na kwenye Router lakini kwenye simu haikuonesha respond yeyote hata chaji tu haikupitisha.

Mpaka saizi sijajua hiyo port ina matumizi gani na lile karatasi la user guide sikumbuki nilipoliweka.
Mkuu ulikua unahitaji hdd niko na ndugu yangu yuko desperate yuko na 2Tb ilikua inatumika kusave records za cctv camera
Anahitaji pesa chap
 
Back
Top Bottom