Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

1705052567349.png

Kwakweli Vodacom wananipa value for money
 
Habari wakuu, mimi nina router yangu ya 4g sasa nilikuwa nataka niitafutie power bank maana umeme wetu huu kila siku unakatika nakosa internet. Juzi kati Nilipita kariakoo katika kuzunguka nikakutana na jamaa wanauza box fulani lina custom circuit board linatumia Betri kama la pikipiki jamaa akaniambia inafaa kuitumia kwa upande mwingine nimeangalia online huko aliexpress kuna UPS ina 10400Mah battery na yenyewe inaweza kutumika pia.
Swali langu, kwa wataalam wa battery ipi kati ya hizi itafaa kama backup power source ya router.
Router inatumia 12V1A.
1704949027720.jpg
 
Attachments

  • 2024-01-11-10-09-18-489.jpg
    2024-01-11-10-09-18-489.jpg
    37.6 KB · Views: 11
  • 2024-01-11-10-09-23-929.jpg
    2024-01-11-10-09-23-929.jpg
    45.6 KB · Views: 11
Habari wakuu, mimi nina router yangu ya 4g sasa nilikuwa nataka niitafutie power bank maana umeme wetu huu kila siku unakatika nakosa internet. Juzi kati Nilipita kariakoo katika kuzunguka nikakutana na jamaa wanauza box fulani lina custom circuit board linatumia Betri kama la pikipiki jamaa akaniambia inafaa kuitumia kwa upande mwingine nimeangalia online huko aliexpress kuna UPS ina 10400Mah battery na yenyewe inaweza kutumika pia.
Swali langu, kwa wataalam wa battery ipi kati ya hizi itafaa kama backup power source ya router.
Router inatumia 12V1A.
View attachment 2872947
Mah sio issue, unatakiwa uangalie hizo voltage mkuu, 12V inabidi power bank Yako izitoe, Amps hazina neno.

Kwa uelewa wangu ukitaka kitu kilichosimama tafuta powerbank za Laptop. Zipo zinazotoa 12V.

Pia kwenye hio router Yako naona kumeandikwa 12V, 9V na 5V ina option ya 5V? Hata kwa ampere nyingi?
 
Mkuu kwa nini Mah siyo issue?Voltages zina faida gani kwa power bank?
 
Mah ni capacity to na ni vyema ukiipima kwa watt/hour kuliko mah. Mfano battery ya 5000mah ya simu ambayo volt Yake ni 3.7 unazidisha 5000x3.7 unapata 18.5W/h hii ina maanisha kama kifaa chako kinakula watts 18 simu itakaa na chaji sana 1, kama kinakula watts 2 itakaa na chaji masaa 9 etc.

Voltage ndio muhimu sana sababu haziingiliani, kama kifaa chako kinatumia volt 3 ukiweka Umeme volt 12 kinaungua. So hizi volt ni muhimu kuhakikisha Zina match exactly, vifaa vyote huwa wanaandika vinatimia volt ngap
 
Mah sio issue, unatakiwa uangalie hizo voltage mkuu, 12V inabidi power bank Yako izitoe, Amps hazina neno.

Kwa uelewa wangu ukitaka kitu kilichosimama tafuta powerbank za Laptop. Zipo zinazotoa 12V.

Pia kwenye hio router Yako naona kumeandikwa 12V, 9V na 5V ina option ya 5V? Hata kwa ampere nyingi?
Hio sio router ni hiyo power bank yenye 10400mah battery, ndo wanasema inatoa hizo voltage za aina 3
 
Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.

Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.

Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Mkuu add-ons za kuangalia mpira nazipatia wapi? Kama Una link naomba share ni download kwenye TV
 
Back
Top Bottom