Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniacha mbali na faiba yanguView attachment 2869577
Kwakweli Vodacom wananipa value for money
@Chief-Mkwawa msaada tafadhaliSize: 3004.35 MB
Hii One UI 6.0 function yake iko wap kwene hizi Samsung zetu.View attachment 2870126
Ni android 14 mkuu, sema kama huna haraka nayo ipotezee Hadi one Ui 6.1 ikitoka na kusambaa kwa watu.Size: 3004.35 MB
Hii One UI 6.0 function yake iko wap kwene hizi Samsung zetu.View attachment 2870126
Kuwa makini. Watu wanalalamika imepunguza ukaaji wa Chaji.Size: 3004.35 MB
Hii One UI 6.0 function yake iko wap kwene hizi Samsung zetu.View attachment 2870126
Nakubaliana na wewe mkuu. Gharama zao ziko juu, but its worth it. Net yao iko stable sanaaa, no dissapointmentsView attachment 2869577
Kwakweli Vodacom wananipa value for money
Mah sio issue, unatakiwa uangalie hizo voltage mkuu, 12V inabidi power bank Yako izitoe, Amps hazina neno.Habari wakuu, mimi nina router yangu ya 4g sasa nilikuwa nataka niitafutie power bank maana umeme wetu huu kila siku unakatika nakosa internet. Juzi kati Nilipita kariakoo katika kuzunguka nikakutana na jamaa wanauza box fulani lina custom circuit board linatumia Betri kama la pikipiki jamaa akaniambia inafaa kuitumia kwa upande mwingine nimeangalia online huko aliexpress kuna UPS ina 10400Mah battery na yenyewe inaweza kutumika pia.
Swali langu, kwa wataalam wa battery ipi kati ya hizi itafaa kama backup power source ya router.
Router inatumia 12V1A.
View attachment 2872947
Mkuu hichi cha voda ni kifurushi GaniView attachment 2869577
Kwakweli Vodacom wananipa value for money
Mkuu kwa nini Mah siyo issue?Voltages zina faida gani kwa power bank?Mah sio issue, unatakiwa uangalie hizo voltage mkuu, 12V inabidi power bank Yako izitoe, Amps hazina neno.
Kwa uelewa wangu ukitaka kitu kilichosimama tafuta powerbank za Laptop. Zipo zinazotoa 12V.
Pia kwenye hio router Yako naona kumeandikwa 12V, 9V na 5V ina option ya 5V? Hata kwa ampere nyingi?
Mah ni capacity to na ni vyema ukiipima kwa watt/hour kuliko mah. Mfano battery ya 5000mah ya simu ambayo volt Yake ni 3.7 unazidisha 5000x3.7 unapata 18.5W/h hii ina maanisha kama kifaa chako kinakula watts 18 simu itakaa na chaji sana 1, kama kinakula watts 2 itakaa na chaji masaa 9 etc.Mkuu kwa nini Mah siyo issue?Voltages zina faida gani kwa power bank?
Hio sio router ni hiyo power bank yenye 10400mah battery, ndo wanasema inatoa hizo voltage za aina 3Mah sio issue, unatakiwa uangalie hizo voltage mkuu, 12V inabidi power bank Yako izitoe, Amps hazina neno.
Kwa uelewa wangu ukitaka kitu kilichosimama tafuta powerbank za Laptop. Zipo zinazotoa 12V.
Pia kwenye hio router Yako naona kumeandikwa 12V, 9V na 5V ina option ya 5V? Hata kwa ampere nyingi?
Router Yako Sasa input zake zipoje? Volt na amps.Hio sio router ni hiyo power bank yenye 10400mah battery, ndo wanasema inatoa hizo voltage za aina 3
12V 1ARouter Yako Sasa input zake zipoje? Volt na amps.
Then powerbank inayotoa 12V itakufaa, hata Hicho kibattery kama kimekua converted vizuri kitapiga kazi ama powerbank yoyote ya 12V.
Mkuu add-ons za kuangalia mpira nazipatia wapi? Kama Una link naomba share ni download kwenye TVYap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.
Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.
Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Hio mkuu ni torrent, so nzuri sana kwa IPTV.Mkuu add-ons za kuangalia mpira nazipatia wapi? Kama Una link naomba share ni download kwenye TV
Toka juzi usiku network inacheza sana......Airtel router 5G,
Zanzibar kuanzia saa moja jion mpka saa nne...internet ni mbovu mno...
Msiseme sijawajuza