Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Screenshot_20240710_102607_MDGram.jpg
 
Nilifanya maombi ttcl kama sio 2021 ni 2022 wakaja wakachek wakaondoka nikafatilia sana nikapigwa danadana nikachoka Airtel alivyokuja na router za 5g nikajichukulia moja ya malipo ya 70,000 kwa mwezi sasa cha ajabu juzi kati hapa hao ttcl wakanipigia wakaniuliza bado naitaji huduma ya internet nikasema ndio wakasema mafundi wanakuja nikajua kama kawaida yao masaa kama 3 mbele nikaona mafundi wamekuja wakavuta fiber nikapewa control number nikalipa wakaleta router wakanifungia ila shida router yao ile user interface wamelock na hawatoai password ya kulogin kwenye router.Nipo moshi sijui kwa maeneo mengine
 
Vipi stability ya internet ukilinganisha na airtel,
All in all ipi ni bora kwako?
 
Nimepata za chini chini kuna kampuni moja ya Simu wanataka kubadilisha bei za vifurushi vyao vya Internet... Na hii ni kutokana na Router zao kuwa na Speed ndogo ikilinganishwa na washindani wake (Malalamiko mengi kutoka kwa wateja wake) na hii inaweza kufanyika kabla ya mwezi wa 9 mwaka huu.
 
Sijui kama sio airtel,
Wapuuzi sana wanatudanganya wanauza speed kitu ambacho si kweli..
Hapa kisiwani ikifika saa 12 jion mpaka saa tano usiku speed ni ya kobe na ni kila siku..

Imagine umetoka kazini unataka utumie internet hali ndio hio
 
Back
Top Bottom