Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Asante sana kwa updates mkuu hii soon naitafuta Hawa voda wananipa cha laki na 15 ngoja nirudi cha 50 k hiki kinafaa kwa matumizi yangu ya sasa voda na Airtel ni wahuni bei kubwa sana afu spidi wanapunguza sana
Mna hakika hii 50k ni unlimited kweli!? isije kuwa yale mambo ya gb190 tu zikiisha je, jmn tusiingizane cha kike waliojiunga na hiki kifurushi mkimaliza mwezi bila huduma kukata na wametumia Zaid ya Gb300 bila speed kupunguzwa mtupe mrejesho maana inaweza okoa watu wengi ni hayo tu Asanteni.
 
Tulikurupuka na router za airtel, matokeo yake tumepigwa kitu kizito.
 
Airtel naona ghafla wamenituma meseji bundle limeisha wakati nilijiunga tarehe 1 unlimited, nawapigia customer care wansema namba yangu haijawahi kujiunga kifurushi chochote na wanaona tu ina salio la 1000 na hakuna wanachoweza kufanya , nimeshtuka kweli maana imetokea muda huu , nataka nifunge safari niwafuate
1721387377590.png
 
Airtel naona ghafla wamenituma meseji bundle limeisha wakati nilijiunga tarehe 1 unlimited, nawapigia customer care wansema namba yangu haijawahi kujiunga kifurushi chochote na wanaona tu ina salio la 1000 na hakuna wanachoweza kufanya , nimeshtuka kweli maana imetokea muda huu , nataka nifunge safari niwafuate View attachment 3046280
Hizo meseji hata mimi nakumbuka niliwahi kukutana nazo ila kilichofanya nisizitilie mkazo ni kwasababu nilikuwa napata access ya internet.

Ila kama upande wako hata internet haupati basi hiyo ni kesi nyingine ambayo Airtel inabidi ikueleze imekuaje.
 
Niliwafuata wakaweka sawa , maana internet ilikata pia sema tu shida ni kwamba watoa huduma wao walisema hwakuona hata kama nshawahi kujiuga kabisa tokea ninunue line wakanishtua kidogo
 
Wakorofi sana hao yani mi niitupie laki humo halafu wao waseme hawaioni si dharau hizi?

Hao wahuni sana mi sitaki kuwaamini hata kwenye excuses zao za tatizo la kimtandao naona mara nyingi linakuwa ni siasa ili kutu damage tu sisi watumiaji.

Kwasababu sijawahi sikia kuna tatizo la mtandao lililotokea ambapo kampuni limepata hasara baada ya system kuwa interrupted na kujikuta imetuma hela kimakosa kutoka kwenye account kuu ya mtandao kwenda kwa wateja wake.

Mara nyingi naonaga ni matatizo ambayo wahanga tunakuwa sisi kwa sisi tu.
 
Miyayusho tu aisee
 
Tulikurupuka na router za airtel, matokeo yake tumepigwa kitu kizito.
Ukiachana na hizi shida za 🛜 kushuka na kupanda, airtel wanajitahidi kwa kiasi chake na ndiyo kidogo wametupiga tafu watu wengi..

Matatizo haya yapo mitandao yoye, hivyo usitegemee ukienda Halotel, Voda, Tigo hautakutana nayo, ni yapo na yataendelea kuwepo tuu..
 
Naunga mkono hoja
 
Baada ya miezi 5 nitakuwa nimetimiza miaka 2 na Vodacom Supakasi, na hawa jamaa hawajawahi niangusha.
 
Hivi Wadau hakuna Mtu anaweza kuzibadili hizi Router za 5G za Tigo, Airtel au Voda kutumika mitandao yote? Kama yupo tuchekiane basi...
Ya tigo hii mpya inatoka temporary, ukizima ukiwa Sha inabidi uichakachue tena, search model yake youtube kuona tutorial.

Kama una hela model nyingi zinachakachulika na Box mbalimbali.
 
Back
Top Bottom