Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Mna hakika hii 50k ni unlimited kweli!? isije kuwa yale mambo ya gb190 tu zikiisha je, jmn tusiingizane cha kike waliojiunga na hiki kifurushi mkimaliza mwezi bila huduma kukata na wametumia Zaid ya Gb300 bila speed kupunguzwa mtupe mrejesho maana inaweza okoa watu wengi ni hayo tu Asanteni.Asante sana kwa updates mkuu hii soon naitafuta Hawa voda wananipa cha laki na 15 ngoja nirudi cha 50 k hiki kinafaa kwa matumizi yangu ya sasa voda na Airtel ni wahuni bei kubwa sana afu spidi wanapunguza sana