Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Hapa dawa ni kutafuta kibunda mtu uchukue router ambayo ni universal, tuacchane na hizi router zao..
Hakika. Ni router ipi universal ambayo ni the best?
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa dawa ni kutafuta kibunda mtu uchukue router ambayo ni universal, tuacchane na hizi router zao..
Naomba namba ya simu ya wakala aliyekuungiaBinafsi Halotel kwa mwezi napata 15.7GB kwa elf 10.
Hii kama adsl ya Ttcl hivi, waya zake ni mbili zimeungana? Maana adls ndio upload speed inakoma hapo 1mbpsJirani yangu kapigwa hapa laki moja kwa mwezi, wanatumia fiber ya haloteli ila ni nyaya sio fiber cable, Chief-Mkwawa kwanini inakuwa starting point ni fibre ila waya unaoingia kwa jirani ni wa steel?
Plans – Nexusnet
View attachment 3062371
Hauna no yao mkuu waliowaungaWalikuja kazini wakatupa lini zao, kuna za business na za wafanyakazi..
Nahisi unaweza enda kwenye shop zao ukawaomba line ya halotel business.
Kwa sasa sina chaguo, ila mfano zile router wanazouzaga Voda nadhani ni universal, hazichagui mtandao.Hakika. Ni router ipi universal ambayo ni the best?
-Kaveli-
yeah zipo 2 ila zimetokea kwenye fibre ya halotel hapo ndiyo sijaelewaHii kama adsl ya Ttcl hivi, waya zake ni mbili zimeungana? Maana adls ndio upload speed inakoma hapo 1mbps
Umehakiki zimetoka fiber mkuu?yeah zipo 2 ila zimetokea kwenye fibre ya halotel hapo ndiyo sijaelewa
ndiyo mkuu hata ukitaka picha, sijaelewa imekuwaje hapo.Umehakiki zimetoka fiber mkuu?
View attachment 3064731
Hii fiber zipo kama waya 3 ukiangalia kwa nje mwembamba mkavu mgumu haukunjiki ovyo
View attachment 3064732
Huu adsl waya wa shaba, unajikunja kirahisi
Picha ya kwanza ni fiber mkuu, kwenye nyumba fiber zinaingia hivyo, ila vyema awa consult 1mbps upload na 7mbps download ni ndogo sana kwa Fiber.ni huu kwenye picha ya kwanza
hiyo speed n ndogo sana kwa fiber boss nimemshauri akifeli installation fee za halotel bora achukuwe unlimited yao tu kwa m2m sema hakuwa mjuvi wa haya mambo anajuta kwanini hakuelewa mapema kuwa nina mwanga nayoPicha ya kwanza ni fiber mkuu, kwenye nyumba fiber zinaingia hivyo, ila vyema awa consult 1mbps upload na 7mbps download ni ndogo sana kwa Fiber.
ndio ila ikifka 75GB wana punguza speed had 500kb/s ukifka 120GB wanpunguza tena nime sahau had ngap ila ndo hvo
Mbona mimi hawajapunguza nimeshatumia karibu gb 400 na speed ipo pale palendio ila ikifka 75GB wana punguza speed had 500kb/s ukifka 120GB wanpunguza tena nime sahau had ngap ila ndo hvo
Wana punguza zikfka 75GB next month please share inaenda mbps ngap baada ya 75GB na ikfka 120GB itaenda mbps ngapMbona mimi hawajapunguza nimeshatumia karibu gb 400 na speed ipo pale pale
NImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha niniWana punguza zikfka 75GB next month please share inaenda mbps ngap baada ya 75GB na ikfka 120GB itaenda mbps ngap
nilcho kua naomba yan ikfka mwez mwengne utakapo jiunga hiko kifurush cha unlimited anza kuhesab ikfka 75GB observe speed yake imeshuka au haijashuka na kama imeshuka imeshuka had mbps ngap maana mm kwangu ulvo fka 75GB wakapunguza speed had 500kb/s ndo skujiunga tena had leo sasa wanaweza wakawa wamerekebisha skuiz hawapunguz speed na mm sijuiNImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha nini
ilkua ghafla tu speed ilvo fka 75GB nika ona wamenipunguzia speed sa sikuelewa why ni kama vodacom kile kifurush cha kasi cha 50k walisema unlimited ila zile 24GB zilvo isha speed wakanipa 1Mbps had mwez ukaisha nikaachana naoNImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha nini
unaona kama huyu mwenzetu tatzo lilimkumba baada ya 24GB kuishaNImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha nini