Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wataalamu hivi kuna apk au software yoyote ya kubypass speed limit kwa laini husika?
Mfano unapewa GB 30 za kasi zikiisha unapata limited speed
 
Leo nimefikisha 1TB
1727350017189.png


Lakini mpka muda huu speed ndio kwanza imeongezeka inapiga beyond 30Mbps
1727350098332.png


Nasikilizia nione kama watanipunguzia iwapo nitazidisha zaidi ya ilivyo hapo.
 
Nimeona tangazo la kifurushi kipya cha Airtel kutoka kwa team leader aliyeniuzia Router.

Bei ya kifurushi nimeambiwa ni 50K ila sharti ni mpaka uwe na Router ya Airtel model zlt x28 au X25.

Gharama za kuunganishiwa kasema ni 100,000 kwa hiyo pamoja na kifurushi jumla ni 150K.

Kuunganisha ni mpaka usajiliwe line special halafu aichukue hiyo Router akaifanyie configurations anazozijua yeye ndio kifurushi hicho kifanye kazi..

Kuhusu speed kaniambia ni Mbps 50 hadi 120....Kwa hiyo minimum ni 50Mbps...

Mimi nimeogopa kujaribu kwa kile kilichonikuta kwa Halotel sitaki kukurupuka tena.
 
Back
Top Bottom