Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Hakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwako
Kaka umeongea alafu umeongea kisomi ubarikiwe sana
 
Ty
 
Attachments

  • Screenshot_20250826-145601_Chrome.jpg
    Screenshot_20250826-145601_Chrome.jpg
    192.1 KB · Views: 23
Kama unahisi bikra ni mlango wa ndoa, kwanini hawajaolewa ikiwa walizaliwa na bikra?
Aliyeitoa bikra kwanini hajamuoa?
Mwanamke ndie gatekeeper wa sex, vinginevyo awe amdbakwa. Kwaiyo swali lako linatakiwa kuwa hivi. Kwanini alikubali kubikiriwa na mwanaume ambae hajamuoa?
 
Labda Bikra ya uani
Ya kawaida unakuta washapita nayo zamaaani
 
Mwanamke ndie gatekeeper wa sex, vinginevyo awe amdbakwa. Kwaiyo swali lako linatakiwa kuwa hivi. Kwanini alikubali kubikiriwa na mwanaume ambae hajamuoa?
Mnaishi enzi za ujima ,kipindi wanawake walikua wakikeketwa , sasa kwa mtu aliekeketwa , ambae hapelekwi shule miaka 14 anaolewa kwa nini usikute bikra??
 
Kaka umeongea alafu umeongea kisomi ubarikiwe sana
Kaka tuna kazi kubwa ya kuzitoa akili za hawa masimp nje ya matrix. Destruction iliyofanyika kwa takribani miongo minne hatuwezi kuilekebisha kwa mwaka mmoja au miwili. Binafsi nimejitolea kuifanya kazi hii bila malipo.
 
Mnaishi enzi za ujima ,kipindi wanawake walikua wakikeketwa , sasa kwa mtu aliekeketwa , ambae hapelekwi shule miaka 14 anaolewa kwa nini usikute bikra??
Unaluka luka sana lakini mpaka dakika hii hakuna ukipotuambia uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika.

mfano mimi nimepewa options mbili. Mwanamke mmoja bikira na mwingine ashatumika, nichague mmoja sa kumuuoa. Tukae hapo kwenye kipengere cha virgin and non-virgin. Nipe hoja za kunishawishi nimchague yule ambae ashatumika
 
Mimi nimeshatumia sana mpaka nimepata na watoto, hivyo sina sababu ya Kuoa/ kuwa ambae hajatumika, na binafsi sijaona umuhimu wa kuwa na bikra kwasababu hao bikra nilishakua nao si chini ya 10 , mimi mwanamke awe mjanja , na mwenye kushirikina na mimi kwa kila hali, hapo tu inatosha .
 
Ume

Omeongea point sana mkuu achana na uyu jamaa anayekujibu
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la hawa wadada wanaotoa mimba, halafu mwanamke akishatoa mimba ile roho ya Mungu ni kama inaruka ata kama alikuwa mke bora hapo nyuma
 
Mimi nimeshatumia sana mpaka nimepata na watoto, hivyo sina sababu ya Kuoa/ kuwa ambae hajatumika, na binafsi sijaona umuhimu wa kuwa na bikra kwasababu hao bikra nilishakua nao si chini ya 10 , mimi mwanamke awe mjanja , na mwenye kushirikina na mimi kwa kila hali, hapo tu inatosha .
Wewe hauna uhalali wa kukemea mwanamke asikunjue mapaja yake kwa mwanaume ambae hajamuoa kwa sababu na wewe ni sehemu ya tatizo. Wala hata hauwatetei wanawake isipokua unajitetea wewe mwenyewe indirectly.

Ofcourse wewe binafsi unastahili huyo mwanamke ambaye ashatumika, lakini sio sahihi kutaka kijana mwema nae achukue makapi kwa sababu ya rekodi yako.
 
Kama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.

Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.

Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali
utateseka sana
 
Wewe hauna uhalali wa kukemea mwanamke asikunjue mapaja yake kwa mwanaume ambae hajamuoa kwa sababu na wewe ni sehemu ya tatizo. Wala hata hauwatetei wanawake isipokua unajitetea wewe mwenyewe indirectly.

Ofcourse wewe binafsi unastahili huyo mwanamke ambaye ashatumika, lakini sio sahihi kutaka kijana mwema nae achukue makapi kwa sababu ya rekodi yako.
Kila mtu ana maamuzi yake bwashee , wwe saka bikra ila binafsi hao bikra siwataki .
 
Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.

Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?

Amehlo tujipange upya sasa😂😂
Kipato sio lazima uwe muwajiriwa. Unaweza kukaa ndani na mwanaume ila ukawa ni winger wa bidhaa mbali mbali au ukawa unaengeneza keki na maandazi unauza kwa wateja wako kwa kudeliver oda zao.

Au ukawa na duka karibu na nyumbani. Vyote vinawezekana. Huko kwenye ajira mnapolazimisha ndipo mambo mengi huwa yanaharibika.

Unaenda kuajiriwa unatongozwa kila siku na watu wale wale lazima utaachia mzigo.

Mshahara hautoshi lazima utalegezea wanaume huko kazini ili wabebe sehemu ya gharama zako.

Gharama za kwendea kazini (mavazi+ chakula kazini+ nauli/mafuta ya gari+ gharama za saloon na urembo) hizi lazima zitafune mshahara wako na kukuharibia bajeti yako maana huwa zinabadilika ila mshahara ukiwa ni ule ule.

Hapo assume haujakutana na wanaume wa 50/50 ambae atataka ugawane nae majukumu.

Huo uhusiano wa Dar ukifika tu chalinze ni chali.
 
Back
Top Bottom