Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Kwahiyo?? Kwani kama huwezi kumuoa asiye na bikra na ukabaki nalo mwenyewe bila kutuambia ingekuaje kwa mfano? Maamuzi yako unatuambia ili iweje sasa?
 
nyie mnao jishauwaga ivi ,ndio mnakujaga kuowa vitu vya ajabu mpka mnatengwa na ukoo mzima.
Wale watu wa ardhi ya mfalme Charles wanasema time will speak wakiwa na maana acha tuvute subra ili tuwaachie utoe majibu.
Ila whoever anakuja kua mke wang hana bikra anarudi kwao Ata maji kwangu hajakunywa.
Mwisho nakusisitiza katika hii dunia ilojaa wadada poa sitokuja kusumbuliwa na kenge yoyote wa kike.
Uwe na mchana mwema
 
Dunia kwa sasa imebadilika sana, wanawake wengi tu wanaweza kukuzidi kila kitu , zamani hizo walikua wanafungiwa ndani tu sasa wanatoka na kupata maarifa makubwa tu na kushindana kama anavyofanya mwanaume tu.
Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.

Kuna nadharia nyingi sana binadamu tumezisimika hapa miongo ya katikati mfsno 50/50,feminism n.k. Nadharia hizi zinajaribu kufanya brain programming kwenye akili zetu lakini bado inakua ngumu kuishinda nature.

Mfano Nigeria, Tiwa Savage ana pesa lakini bado anaangaika kumpata mume wa level yake sababu umri umeeenda, single mother na past chafu(ana connection ya x mtandaoni) . Leo hii Peter wa p square akiamua kuoa anapata mtoto mbichi kabisa licha ya kwamba jamaa ni playboy.

Thamani ya meanamke na mwanaume zinaangaliwa katika pande tofauti na sio hela kama unavyotaka kuonyesha hapa. Sisi wanaume huwa hatuna time na hela za mwanamke tunataka purity tu
 
Naona masimp mliioa/wenye mademu mitumba mnaangaika kutetea ufala wenu. Halafu mitumba wenyewe wanasoma comments zenu huku wanawachora tu mlivyokua mabwege.

Hakuna uniqueness yoyote ambayo mwanamke alietumika anaweza kum-outshine mwanamke bikira. Kitamaduni na kidini mwanamke ambae hana bikira na hajaolewa anatambulika kama '' malaya''
Asante mkuu kwa elim yako
Mm niliwah kua na dem ananambia mm nineshalal na wanaume wa3 kipindi tupo form six, ananiuliza na ww unataka nikamjibu kwani utatoa tu akajb Nampa tu bwana wangu mana sio Malaya.
Nilicheka kwa sauti sana sio Malaya miaka16 wanaume wa3 sasa ww ni nani
 
Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.

Kuna nadharia nyingi sana binadamu tumezisimika hapa miongo ya katikati mfsno 50/50,feminism n.k. Nadharia hizi zinajaribu kufanya brain programming kwenye akili zetu lakini bado inakua ngumu kuishinda nature.

Mfano Nigeria, Tiwa Savage ana pesa lakini bado anaangaika kumpata mume wa level yake. Leo hii Peter wa p square akiamua kuoa anapata mtoto mbichi kabisa licha ya kwamba jamaa ni playboy.

Thamani ya meanamke na mwanaume zinaangaliwa katika pande tofauti na sio hela kama unavyotaka kuonyesha hapa. Sisi wanaume huwa hatuna time na hela za mwanamke
Kwenye bikra kila mtu ana machaguo yake ,hapa hakuna sheria ni machaguo ya mtu tu kama ambavyo wengine wanachagua weusi na wengine weupe , wala hakuna sheria wala kupangiana.
 
we piga tuu nyeto weeh, na kutamani watoto

Ukitafuta bikra,,

Nn faida ya bikra kwa Dunia ya Leo ? Kuhakikisha kwamba hajaliwa??

Maake kila feminist alikuwa bikra,,

Jaribu kuwa gentleman enough
 
Kwenye bikra kila mtu ana machaguo yake ,hapa hakuna sheria ni machaguo ya mtu tu kama ambavyo wengine wanachagua weusi na wengine weupe , wala hakuna sheria wala kupangiana.
Hakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwako
 
Kama unahisi bikra ni mlango wa ndoa, kwanini hawajaolewa ikiwa walizaliwa na bikra?
Aliyeitoa bikra kwanini hajamuoa?
 
Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.

Kuna nadharia nyingi sana binadamu tumezisimika hapa miongo ya katikati mfsno 50/50,feminism n.k. Nadharia hizi zinajaribu kufanya brain programming kwenye akili zetu lakini bado inakua ngumu kuishinda nature.

Mfano Nigeria, Tiwa Savage ana pesa lakini bado anaangaika kumpata mume wa level yake sababu umri umeeenda, single mother na past chafu(ana connection ya x mtandaoni) . Leo hii Peter wa p square akiamua kuoa anapata mtoto mbichi kabisa licha ya kwamba jamaa ni playboy.

Thamani ya meanamke na mwanaume zinaangaliwa katika pande tofauti na sio hela kama unavyotaka kuonyesha hapa. Sisi wanaume huwa hatuna time na hela za mwanamke tunataka purity tu
naam 100%
 
Kama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.

Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.

Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali
And you're already bankrupt 🤣🤣🤣🤣 that's game is rigged
 
Hakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwako
Unaweza Thibitisha kwamba kila mwanamke asiye na bikra anakuja kwangu na purity ,innocent mentally , insured womb na no spiritual complexity , na sexual discipline, hebu Thibitisha kimoja baada ya kingine
 
Back
Top Bottom