The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Izo ndio comment nilikua nazisubiria embu bro weka namba nikupe chochote kituNyie wanawake wa kisasa ni wajinga mnakujaga na hoja ya usasa kwenye masilahi tu. Hapa tungesema mwanamke ahudumiwe na mwanaume usingekuja na vice verse yakutaka na wanawake wenye uwezo wshudumie wanaume wao pia.
Mwanaume na mwanaume hawawezi kuwa uniform kwenye kila kitu. Kila jinsia inahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anauhukumiwa kwa status/financial power. Mwanamke anahukumiwa kwa purity/virgin