Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Wewe unayo birka / uvulana wako, au umeshatumika mpaka hicho kiukuni chako kimepauka?Kama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.
Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.
Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali