The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Kaka umeongea alafu umeongea kisomi ubarikiwe sanaHakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwako
Mwanamke ndie gatekeeper wa sex, vinginevyo awe amdbakwa. Kwaiyo swali lako linatakiwa kuwa hivi. Kwanini alikubali kubikiriwa na mwanaume ambae hajamuoa?Kama unahisi bikra ni mlango wa ndoa, kwanini hawajaolewa ikiwa walizaliwa na bikra?
Aliyeitoa bikra kwanini hajamuoa?
Uitwe gentle womenTe Hiyo gentleman ni code name ya simp. Kwenye dating pool kwa sasa epuka sana na usikubali kuitwa gentleman
Hilo suali uulize dada zetu kwann unakubali kupanuliwa miguu kabla kuolewaKama unahisi bikra ni mlango wa ndoa, kwanini hawajaolewa ikiwa walizaliwa na bikra?
Aliyeitoa bikra kwanini hajamuoa?
Sijamaanisha uitwe na ke hivyo,Hiyo gentleman ni code name ya simp. Kwenye dating pool kwa sasa epuka sana na usikubali kuitwa gentleman
Mnaishi enzi za ujima ,kipindi wanawake walikua wakikeketwa , sasa kwa mtu aliekeketwa , ambae hapelekwi shule miaka 14 anaolewa kwa nini usikute bikra??Mwanamke ndie gatekeeper wa sex, vinginevyo awe amdbakwa. Kwaiyo swali lako linatakiwa kuwa hivi. Kwanini alikubali kubikiriwa na mwanaume ambae hajamuoa?
Kama unaona bikra ni muhimu kwenye ndoa, kwanini hujamuoa baada ya kumtoa bikra?Hilo suali uulize dada zetu kwann unakubali kupanuliwa miguu kabla kuolewa
Baada ya kumkuta na bikra kwanini hukumuoa?Mwanamke ndie gatekeeper wa sex, vinginevyo awe amdbakwa. Kwaiyo swali lako linatakiwa kuwa hivi. Kwanini alikubali kubikiriwa na mwanaume ambae hajamuoa?
Kaka tuna kazi kubwa ya kuzitoa akili za hawa masimp nje ya matrix. Destruction iliyofanyika kwa takribani miongo minne hatuwezi kuilekebisha kwa mwaka mmoja au miwili. Binafsi nimejitolea kuifanya kazi hii bila malipo.Kaka umeongea alafu umeongea kisomi ubarikiwe sana
Unaluka luka sana lakini mpaka dakika hii hakuna ukipotuambia uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika.Mnaishi enzi za ujima ,kipindi wanawake walikua wakikeketwa , sasa kwa mtu aliekeketwa , ambae hapelekwi shule miaka 14 anaolewa kwa nini usikute bikra??
Mimi nimeshatumia sana mpaka nimepata na watoto, hivyo sina sababu ya Kuoa/ kuwa ambae hajatumika, na binafsi sijaona umuhimu wa kuwa na bikra kwasababu hao bikra nilishakua nao si chini ya 10 , mimi mwanamke awe mjanja , na mwenye kushirikina na mimi kwa kila hali, hapo tu inatosha .Unaluka luka sana lakini mpaka dakika hii hakuna ukipotuambia uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika.
mfano mimi nimepewa options mbili. Mwanamke mmoja bikira na mwingine ashatumika, nichague mmoja sa kumuuoa. Tukae hapo kwenye kipengere cha virgin and non-virgin. Nipe hoja za kunishawishi nimchague yule ambae ashatumika
Omeongea point sana mkuu achana na uyu jamaa anayekujibuUnaluka luka sana lakini mpaka dakika hii hakuna ukipotuambia uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika.
mfano mimi nimepewa options mbili. Mwanamke mmoja bikira na mwingine ashatumika, nichague mmoja sa kumuuoa. Tukae hapo kwenye kipengere cha virgin and non-virgin. Nipe hoja za kunishawishi nimchague yule ambae ashatumika
Wewe hauna uhalali wa kukemea mwanamke asikunjue mapaja yake kwa mwanaume ambae hajamuoa kwa sababu na wewe ni sehemu ya tatizo. Wala hata hauwatetei wanawake isipokua unajitetea wewe mwenyewe indirectly.Mimi nimeshatumia sana mpaka nimepata na watoto, hivyo sina sababu ya Kuoa/ kuwa ambae hajatumika, na binafsi sijaona umuhimu wa kuwa na bikra kwasababu hao bikra nilishakua nao si chini ya 10 , mimi mwanamke awe mjanja , na mwenye kushirikina na mimi kwa kila hali, hapo tu inatosha .
utateseka sanaKama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.
Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.
Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali
Kila mtu ana maamuzi yake bwashee , wwe saka bikra ila binafsi hao bikra siwataki .Wewe hauna uhalali wa kukemea mwanamke asikunjue mapaja yake kwa mwanaume ambae hajamuoa kwa sababu na wewe ni sehemu ya tatizo. Wala hata hauwatetei wanawake isipokua unajitetea wewe mwenyewe indirectly.
Ofcourse wewe binafsi unastahili huyo mwanamke ambaye ashatumika, lakini sio sahihi kutaka kijana mwema nae achukue makapi kwa sababu ya rekodi yako.
Kipato sio lazima uwe muwajiriwa. Unaweza kukaa ndani na mwanaume ila ukawa ni winger wa bidhaa mbali mbali au ukawa unaengeneza keki na maandazi unauza kwa wateja wako kwa kudeliver oda zao.Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.
Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?
Amehlo tujipange upya sasa😂😂