Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Kila mtu ana maamuzi yake bwashee , wwe saka bikra ila binafsi hao bikra siwataki .
Hakuna aliekulazimisha. Kinachofanyika hapa ni kubadilishana mawazo tu. Mwisho wa siku maamuzi yanabaki kwa kila mmoja binafdi, kwaiyo ukija hapa uwe na hoja ya kuwatetea hao makapi
 
Mtibeli huko juu no comment miaka ile 20-35

Ila napigilia msumari huku chini 51-85
hakuna mwanamke mzuri na mtulivu kama mjane
Kikubwa tu ujue mumewe alikufa kwa mazingira gani.
Kwa vyovyote utamkuta tayari ana watoto wakubwa tu walishaanza maisha yao
Au hata ana watoto bado wadogo sio mbaya.Kikubwa usiwe umempenda kwa tamaa ya ngono.
Umsaidie ila sasa ni vyema ukamuoa kabisa akawa mkeo
Unapata dhawabu kwa MUNGU ya daraja
Mwanamke ni kiumbe dhaifu ana hitaji wa kumsaidia shida ndogo ndogo
Kumsaidia sio lazima iwe pesa unaweza kuta ana uwezo kuliko wewe
Hata kule kumpa company kama mumewe na ushauri kama mwanaume ni msaada tosha
 

Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…