Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Kwani unadhani hawezi kuwapata hao sealed, au hajui hilo? Sijui kwanini watu mnapenda kuleta hoja zenu binafsi kwenye maamuzi binafsi ya maisha ya wengine...

Nimeshasema sisi kigezo chetu kikuu ni upendo na tunapendana sana, period.

Hana hyo uwezo.
Kuoa Mwanamke bikra sio jambo rahisi na sio Bahati kwa kila mwanaume.

Hakuna mwanaume ambaye hakuwa na ndogo ya kuoa Mwanamke mwenye Bikra. Yaani yeye ndiye awe wakwañza. Huyo hayupo.
Ni vile uwezo hawana.
 
Kwani unadhani hawezi kuwapata hao sealed, au hajui hilo? Sijui kwanini watu mnapenda kuleta hoja zenu binafsi kwenye maamuzi binafsi ya maisha ya wengine...

Nimeshasema sisi kigezo chetu kikuu ni upendo na tunapendana sana, period.
Bikra sio hoja binafsi,Upendo wake kwako umefunika hicho kigezo na hio imetosha kama ulivyosema , kila kheri
 
Hii
Hii inaitwa kutikisa soko. Yaani vurugu tupu. Mi nasema olewa na umpenddaye na anakupenda
 
Nadhani anazungumzia bikra ya kutengeneza( kutia ndimu)
 
Duh vitoto apana kwa kwel ,majimama ya 90- 99 ni minato zaidi kuliko hivi vitoto vya 2000 .
Enhee sijaamini kama nishakuwa jimama 🤣

Kuhusu mada ya mtibeli, hivyo ndivyo inavyotakiwa, unfortunately mambo hayatokei katika mstari ulionyooka. Mambo kwa ground yanatokea kibahati bahati tu na vigezo fulani fulani. Wanaume wote wakifuata vigezo vya mtibeli mdada wa sasa kuolewa chances are nill.
 
Sawa mama mchungaji
Ndio Mungu kakuleta hapa duniani na anamipango mizuri kwako . Na moja na hilo ni ndoa njema kwani kabla hujaoa unaweza kupima afya na kupima kama anaweza pokea mimba ??? Na tabia huwezi kumpima kama anaweza kuwa msikivu na mwenye tabia njema, kipato cha nini mwananke ni yule mwenye akili na utambuzi sahihi
 
Mwaka huu mwendo wakuwavuruga tuu.

Vuru vuru.

Hivi kwann watu wanatakaga bikra?

Wakati wengine we prefer experienced
 
Hapo penye uvumilivu ndipo pagumu.
Sasa binti miaka 17 hana Bikra huo uvumilivu atakuwa nao
Kaka, kuna mambo mengine yanamuhitaji Mungu tu na bahati na malezi aliyopewa mwanamke na wazazi wake, asiwe na traumatic child experience Ili mwanamke asiye bikra awe mvumilivu kwa mwanaume wake ambaye hakuitoa bikra. Naelewa bikra ni spiritual bond kabisa .
Kinyume na hapo , sidhani kama wanaweza vumilia kwa kuwa mwanaume huyo sio first choice wake .
 
Bikra + Mzuri + Mfanyakazi

Hii combination ni Moto yaan hapo unachochea kuni mwenyewe huku unajikaanga ukiwa juu ya chungu ongezea asiwe mpiga mizinga kinachowatiririsha UWABATA ni mizinga sio bikra sio uzuri sio ufanyakazi mizinga kabla haujaoa unapiga mahesabu gharama ulizotumia kumsotea kwenye vizinga zinazidi mahari uliyotajiwa na Baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…