Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Wewe unayo birka / uvulana wako, au umeshatumika mpaka hicho kiukuni chako kimepauka?
 
Kwa kuwa hutampata ambae hajapakuliwa. Tena usipoangalia mtakuwa mnakula kwenye sahani moja watu wengi.
 
Kwani mama ako aliolewa bikra?

Bikra ina impact gani kwenye ndoa?
Shida una mchukulia mwanamke kwenye sex tu kama una oa ili kutibu nyege itafute sana iyo bikra
 
Ingekua bikra ndio nafsi ningeungana na wewe!
Jiulize kilichomfanya akubali kuolewa nanwewe ni nini!!?yaani kwanininyupo kwako!!?Hilo ndio la msingi na utalijua uzeeni!
Au wakati utakapopoteza sababu ya yeye kuwa na wewe ndio utajua hujui!
 
Bikra ipi ya kiroho au ya kimwili?
 
Wewe unayo birka / uvulana wako, au umeshatumika mpaka hicho kiukuni chako kimepauka?
Nyie wanawake wa kisasa ni wajinga mnakujaga na hoja ya usasa kwenye masilahi tu. Hapa tungesema mwanamke ahudumiwe na mwanaume usingekuja na vice verse yakutaka na wanawake wenye uwezo wshudumie wanaume wao pia.

Mwanaume na mwanaume hawawezi kuwa uniform kwenye kila kitu. Kila jinsia inahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anauhukumiwa kwa status/financial power. Mwanamke anahukumiwa kwa purity/virgin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…