Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

Sidhani kama watazingatia hilo, labda kama utaratibu umebadirika, nakumbuka Sensa ya mwaka 2012 nafasi hizi zilitolewa kwa upendeleo sana, wengi wenye sifa za ziada waliachwa na kuchukuliwa hao wa form four kutokana na kujuana.

Usikariri bwa’mdogo.

This time unatuma kwenye mfumo sio kupeleka fomu halmshauri kama enzi hizo, unachagua hadi kijiji (eneo) unalotaka kufanyia kazi kisha unatuma.

Mwenye kupata na apate, hawawezi kupata wote lakini huwezi kujuana na wote…. wapo watakaobebwa lakini kwa vile mfumo ni centered imepunguza hilo.

Nilifanikiwa kuandikisha dodoso refu bila mkono wa mtu, naamini elimu yangu ilinibeba kulingana na eneo langu….. niliambatisha hadi kitambulisho cha chuo sababu nilikuwa bado masomoni.
 
Sijui umetumia kigezo gani kuniita bwa mdogo, maana kwa maelezo yako huo mwaka ulikuwa Chuo ilihali Mimi nilikuwa na maisha yangu tayari, vinginevyo maelezo yako mengine nimeyaelewa.
 
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
SASA KARANI wa sensa naye unataka watangaze mwenye degree ili hali ni kazi ambayo hata darasa la nne D anaweza kufanya ili mradi ajue kusoma kuandika. Sidhani kama atashindwa kujaza mtaa, nyumba, kaya, idadi ya watu ktk kaya nk
 
Kama mbunge kigezo ni kujua kusoma na Moja ya jukumu lake ni kutunga Sheria za Nchi!!,vipi hawa form 4 washindwe kujaza vidodoso vya idadi ya watu na makazi Yao?. Roho za kishetani hizi acha huwezi fanikiwa.
 
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
Mpaka mabaamedi wataomba hiyo kazi. Baa watakosa huduma wiki ya Sensa
 
Form Mkuu unaiyona Elimu ndogo lakin kuwa Mbunge Ni kujua kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom