Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama watazingatia hilo, labda kama utaratibu umebadirika, nakumbuka Sensa ya mwaka 2012 nafasi hizi zilitolewa kwa upendeleo sana, wengi wenye sifa za ziada waliachwa na kuchukuliwa hao wa form four kutokana na kujuana.
Sijui umetumia kigezo gani kuniita bwa mdogo, maana kwa maelezo yako huo mwaka ulikuwa Chuo ilihali Mimi nilikuwa na maisha yangu tayari, vinginevyo maelezo yako mengine nimeyaelewa.Usikariri bwa’mdogo.
This time unatuma kwenye mfumo sio kupeleka fomu halmshauri kama enzi hizo, unachagua hadi kijiji (eneo) unalotaka kufanyia kazi kisha unatuma.
Mwenye kupata na apate, hawawezi kupata wote lakini huwezi kujuana na wote…. wapo watakaobebwa lakini kwa vile mfumo ni centered imepunguza hilo.
Nilifanikiwa kuandikisha dodoso refu bila mkono wa mtu, naamini elimu yangu ilinibeba kulingana na eneo langu….. niliambatisha hadi kitambulisho cha chuo sababu nilikuwa bado masomoni.
Sijui umetumia kigezo gani kuniita bwa mdogo, maana kwa maelezo yako huo mwaka ulikuwa Chuo ilihali Mimi nilikuwa na maisha yangu tayari, vinginevyo maelezo yako mengine nimeyaelewa.
Sawa, ndiyo maana humu huwa tunaitana tu Mkuu!Take it easy, with due respect…. sorry mkuu.
ionekane hata wale wa shule za kata wamekumbukwaHapo wameweka elimu kidato cha NNE ila kuna kipengere cha kujaza elimu yako ya JUU, hiyo ni faida ya ziada…. na itazingatiwa.
SASA KARANI wa sensa naye unataka watangaze mwenye degree ili hali ni kazi ambayo hata darasa la nne D anaweza kufanya ili mradi ajue kusoma kuandika. Sidhani kama atashindwa kujaza mtaa, nyumba, kaya, idadi ya watu ktk kaya nkYaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
We jamaa unaonekana una roho ya kukunja sanaSensa mbona itakoma
Mpaka mabaamedi wataomba hiyo kazi. Baa watakosa huduma wiki ya SensaYaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
PhD hawatakosa humoBora kuliko kujaza form 4 tu
LinMkeka soon tu unatoka wakuu[emoji23][emoji23]