Vigogo na Watoto wa Vigogo wana mitaji lakini mbona hawajiajiri?

Unaweza kua smart lakini sio bright, ndio hiyo sasa
 
Hao wote uliotaja ni viongozi wa ccm na Nchi hii na Utajiri wako hutoboi bila kuwa na direct link na ccm vinginevyo utapata tabu sana.
Mkuu sijachanganya.
 
Ushawahi kuona wapi mwizi akifanya jambo halali?
 
Hoja fikirishi....
Ila hatushangai. Enzi na enzi, watoto wa vigogo wana bahati kufa, vigogo toka enzi ni WABINAFSI, WALAFI, WEZI, MAFISADI, ROHO MBAYA NA KATILI...
 
Hoja fikirishi....
Ila hatushangai. Enzi na enzi, watoto wa vigogo wana bahati kufa, vigogo toka enzi ni WABINAFSI, WALAFI, WEZI, MAFISADI, ROHO MBAYA NA KATILI...
Huenda ndio siri ya mafanikio Yao.
 
Ila watoto hawa wengi wao SI vichwa.
Watoto vichwa(genius) ni wale wanaotokea familia za kawaida, tena kijijini.
 
Yani ,unavyoandika utafikiri fundi, kumbe uli sup MTH 106 STATISTICS MPAKA THIRD ATTEMPT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…