Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Ukute hao vijana walizaliwa nao. Japo elimu ya kujiepusha na ukimwi imeimbwa sana, kuna vijana hawakuona ukimwi wa miaka ya 80 na 90, laiti wengeona wagonjwa wa wakati ule wangeogopa kufanya ngono kizembe
 
Habari zenu wanajukwaa.

Serikali ya Tanzania imejigamba Kwa kusema imefanikiwa kupunguza Maambukizi ya Ukimwi Kwa Asilimia 58% ambapo Kwa mwaka watu 54,000 ndio hupata Maambukizi kutoka watu 130,000 mwaka 2003.

Wakati ikieleza hayo taarifa kutoka JKT zinasema Vijana wapatao 147 waliojiunga na mafunzo ya JKT Kwa lazima wamekutwa na virusi vinavyosababisha Ukimwi VVU..

Wakuu msiamini sana takwimu maana ngwe ngwe Bado ipo.Vaeni zana za kazi.
20230204_155710.jpg
 
Siku zijazo tutapenda pia kusikia na idadi ya Wakufunzi wa Mafunzo ya JKT wenye VVU japo baadhi yao katika Kambi maarufu Wanajulikana na wala hawahamishwi.

Kwa Taarifa zaidi juu ya hawa Vijana 147 waliokutwa na VVU Mafunzoni JKT tembelea mwananchi_official

Poleni sana Vijana 147.
 
Mzee wa daily kimoko
 
Inasikitisha sana...
Yanayoendelea huko hasa kuhusu VVU yanasikitisha. Bado nasisitiza Siku zijazo waje pia na idadi ya Wakufunzi ( Trainers ) wa JKT wenye VVU na wanawapokea Vijana wetu kila mwaka wa Mafunzo haya ya kwa Mujibu.
 
Sasa kama hao ni vijana tu wa jkt, je ambao hawakujitokeza kupimwa na wapo kwingine idadi yao si itakuwa kubwa? Hii idadi itakuwa ina vijana waliozaliwa nao. Elimu ya kujikinga na ukimwi imefanyiwa kampeni sana kupata ukimwi ni kujitakia tu
 
Back
Top Bottom