Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Pleasepast

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2023
Posts
509
Reaction score
848
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
 
Pole sana.

.........Ndio Dunia ilivyo
 
da!!!!! ata WAPANGWA wako hivihivi,,,,,yaani kila ulichoandika kinaendana 100% na WAPANGWA,,,alaf wanaroga mpaka vyuma!!!
 
Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
 
Duuh hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…