Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Nimesoma thread yote na comment karibu zote nimezipitia kwa utuo. Nilichogundua ni kwamba UKOMBOZI WA KIFIKRA NI TATIZO KUBWA.
Wengi wanaweza kuwa wasomi lakini wana FIKRA MGANDO. Ukabila ni suala la kufikirika tu. Tabia za binadamu huathiriwa na mambo mengi. Suala la ukabila ni fikra na imani tu. Pole sana mtoa hoja!
 
Kwa wajita kwao ni ufahari kua single mama kwasababu wanapenda mtelemko kupewa pesa za matunzo ya mtoto kutoka kwa wanaume ata wanne tofauti yani mwanamke wa kijita ana watoto wanne na wote kila mmoja na baba yake na ao baba zao wote haishi nao sasa jiulize
Very true
 
Back
Top Bottom